Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

Loimata

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2022
Posts
749
Reaction score
1,741
Habari zenu wakuu.

Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda.

Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila tunataka tuikate tupande mingine maana hii kwanza inapendwa na popo ambao huharibu mazingira kwa kinyesi chao kwenye kuta za majengo na pia inamwaga majani mengi kiasi kwamba eneo linaonekana kama halisafishwi.

Vile vile nasikia(not sure) haifikishi miaka 10 inakufa.

So wakuu,naomba anayejua mti wowote mzuri wa kivuli hata ukiwa wa matunda anitajie mradi tu usiwe wa kuchafua kwa majani.

Natanguliza shukrani🙏
IMG_20230714_121109_HDR.jpg
 
Huo Mti Ndiyo Wanauita Mharadari

Mti Usiochafua Mazingira Utaupata Wapi Mkuu
Labda Artificial
Sijui unaitwaje ila sidhani kama miti yote inamwaga majani mengi kama hii.Kuna picha nimeweka hapo juu,hayo mafungu ya majani yamejikisanya masaa mawili baada ya eneo kufagiliwa.Upepo ukivuma yanasambaa kila sehemu.
 
Back
Top Bottom