Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua sijui.Miarobain nasikia mizizi inapasua kuta
Mimi sipendi haya majani mkuu.Majani ya miti yaliyoanguka pia ni urembo kwenye nyumba. Yanaonyesha uhai kwenye mazingira yako.
Cha msingi panda nyasi nzuri chini ya miti yako. Hapo cha kushughulika nacho ni hao popo tu, kama aina ya mti ndio unawavutia badilisha aina
Style yako ya kujitangaza nimeipenda. Wakongwe tu ndo tunaelewa ulicho lenga ni nini.Habari zenu wakuu.
Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda.
Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila tunataka tuikate tupande mingine maana hii kwanza inapendwa na popo ambao huharibu mazingira kwa kinyesi chao kwenye kuta za majengo na pia inamwaga majani mengi kiasi kwamba eneo linaonekana kama halisafishwi.
Vile vile nasikia(not sure) haifikishi miaka 10 inakufa.
So wakuu,naomba anayejua mti wowote mzuri wa kivuli hata ukiwa wa matunda anitajie mradi tu usiwe wa kuchafua kwa majani.
Natanguliza shukrani🙏View attachment 2687597View attachment 2687603
Ngoja nikipita maeneo nitapiga picha nikutumie hapa hapa maana nikisema kwa WhatsApp na hicho kivuli cha mzoa uchafu utastuka!😁😁😁Usipande hii utajuta.
Picha ya mdodoma please🙏
Looh, nilikuwa nimeshahamasika kupanda miharadali vibaya sana! Asante kwa kutupa ufahamu!Usipande hii utajuta.
Picha ya mdodoma please🙏
Ndo mana mi natamani ningezaliwa mwanaume.Style yako ya kujitangaza nimeipenda. Wakongwe tu ndo tunaelewa ulicho lenga ni nini.
Duh, kwa nini sasa anakufanyia hivyo? Huo ni ukatili wa kijinsia mama mzima unashindwa kujisimamia haiwezekani!Ni kweli ningeshtuka mana whatsap yangu anai control mume wangu.
Panda midodoma mkuu hutajuta