Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
- Thread starter
- #21
Ni kweli dear halafu hii haina msimu.mikungu pia inatoa majanii mengi tu.
Ni kawaida ya miti kipindi cha kiangazi kupukutisha majani, sidhani kama kuna mti ambao haufanyi hivi.
Ila huo mti mharadari ni kweli unatoa majani mengi na vimatunda vyekundu ambavyo vinachafua sana.
Inazaa vitunda na kumwaga majani kila wakati.
Ukijumlisha na uchafuzi wa kinyesi cha popo ni kero sana