Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

Panda mparachichi ukifikia level ya kutoa matunda unaweka shadenet chini yake ili matunda yasiangukie watu kichwani

Hapo utapata kivuli na matunda pia.
Sawa.
Kuna mtu hapa ananiambia na mistafeli eti ni mizuri pia
 
Mashine kazi muarobani ni green daily,kivuli iwe masika iwe kiangazi inatwanga tuuu.Nenda na muarobaini.
Miarobain nasikia mizizi inapasua kuta
 
Reactions: EEX
Majani ya miti yaliyoanguka pia ni urembo kwenye nyumba. Yanaonyesha uhai kwenye mazingira yako.

Cha msingi panda nyasi nzuri chini ya miti yako. Hapo cha kushughulika nacho ni hao popo tu, kama aina ya mti ndio unawavutia badilisha aina
Mimi sipendi haya majani mkuu.
 
Style yako ya kujitangaza nimeipenda. Wakongwe tu ndo tunaelewa ulicho lenga ni nini.
 
Usipande hii utajuta.
Picha ya mdodoma please๐Ÿ™
Ngoja nikipita maeneo nitapiga picha nikutumie hapa hapa maana nikisema kwa WhatsApp na hicho kivuli cha mzoa uchafu utastuka!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Style yako ya kujitangaza nimeipenda. Wakongwe tu ndo tunaelewa ulicho lenga ni nini.
Ndo mana mi natamani ningezaliwa mwanaume.
Sasa naongelea miti huku anatokea mwehu anasema najitangaza.
Najitangaza ili nifaidike nini wakati PM yangu nimeifunga?
Wanaojiuza/jitangaza humu hawafungi PM zao.
Najiheshimu na lengo la uzi wangu liko wazi hakuna kingine mkuu๐Ÿ™
 
Ngoja nikipita maeneo nitapiga picha nikutumie hapa hapa maana nikisema kwa WhatsApp na hicho kivuli cha mzoa uchafu utastuka!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ni kweli ningeshtuka mana whatsap yangu anai control mume wangu.
 
Duh, kwa nini sasa anakufanyia hivyo? Huo ni ukatili wa kijinsia mama mzima unashindwa kujisimamia haiwezekani!
Inaweza kuwa ni ukatili kwa wengine ila mimi napenda so worry out mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ