Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

Midodoma ipoje?

Mistafeli inakomaa kwa muda gani? Tunda lake ni tamu kuliko.

-Kaveli-
Hivi mastafeli ndo haya huku Mbeya tunaita matopetope? Nimeyaotea Mwanjelwa mkuu kwa buku buku! Ila kuna sehemu nimepanda yanachukua more than 5 years kuanza kuzaa! Na mti wake sio wa kivuli kivile
 

Attachments

  • image.jpg
    1.1 MB · Views: 13

Attachments

  • AD52E413-65C9-4FD8-A68C-C3FFCD908852.jpeg
    47.3 KB · Views: 12
Nyie! Mungu fundi
 
Mti wenye kivuli na usiodondosha majani au mbegu nyingi ni Mkoramaji, wengine huiita Mdodoma, kisayansi unaitwa Trichilia emetica.
Kwa Dar hii inapatikana kwa wauza miche ya miti?
 
Unatamani kuwa mwanaume? Kweli ? Una uhakika? Kuna miti ipo sehemu moja hapa Mbezi sijui jina lake ila ni the best kwa kivuli na inapukutisha majani kidogo sana. Ungepata muda ningekuelekeza sehemu moja pia nliambiwa ipo huko Tabata. Ni mizuri sana. Na inakua kwa haraka sana kisha juu inatanuka.
 
Pole sana hao ndo meen
 

Nani ameona kivuli cha mpiga picha ?
 
Mti wenye kivuli na usiodondosha majani au mbegu nyingi ni Mkoramaji, wengine huiita Mdodoma, kisayansi unaitwa Trichilia emetica.
Ni kweli mkoramaji ni mzuri ila sasa mpaka uje utoe kivuli cha kueleweka sio leo. Unaeza subiri 5 years bado kivuli kinasua sua.

Kuna mtu kashauri mstafeli, ila kwa mimi sijawahi kuona mstafeli wenye kivuli. Hua inanyooka tu kwenda juu. Pia mimi mistafeli niliikata baada ya kuniletea ule ugonjwa wa wadudu weupe ambao nahangaika nao hadi leo.

Ushauri wangu tafuta miashoki dume. Hakikisha ni dume maana jike ndio ile hunyooka na kurefuka sana. Miashoki dume inaangusha majani kidogo sana, haina matunda, ina kivuli kizuri, na haichukui muda sana kuota.
 
Ndio ninatamani kuwa mwanaume.Kuwa mwanamke ni mateso mengi tu.Ikitokea muujiza Mungu aniambie anifanyie nini fasta ningemuomba anibadili jinsia.

Naomba unisaidie tupate jina lake au japo picha.🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…