Mti waliokatazwa Adamu na Hawa kula ulikuwa mti gani?

Kwani hujui kuwa mke ni msaidiz…? Unahisi alikuwa na kaz gan…? Jamaa alitakiwa ku populate na kuitawala Bustani, so msaidiz kaja kwa ajili ya kazi hizo...

mke ni msaidizi lakini why akusema kuwa wafanye mapenzi akuwaambia... ila baada ya kugundua tunda la utamu akaja kuweka amri ya sita USIZINI alafu ni amri ambayo wanafanya wengi tena kwa sifa sana..
 
Akaingiza mdomo upi Miss Chaga
yani mwili wa mwanaume akivua nguo dushe inakuwa kama tunda mtini sasa eva akamwambia adam mimi na mdomo wa kula kwa hiyo eva akachukua tunda akaingiza kwenye mdomo wakawa wamekula tayari.. ndipo wakajiona uchi kwa kuwa walishtuka kumbe unaweza kula na bado ikabaki .. adam akaanza kujificha ili eva asiendelee kumla...
 
mke ni msaidizi lakini why akusema kuwa wafanye mapenzi akuwaambia... ila baada ya kugundua tunda la utamu akaja kuweka amri ya sita USIZINI alafu ni amri ambayo wanafanya wengi tena kwa sifa sana..

Kuna amri pia kuwa usiue, imewekwa ingawa hawakua kule Eden.
Mungu anataka kuona utiii wetu kwake, anataka wale wanaomwabud kwa Roho safi na ukweli, so katika kuangalia utiii anaweka mambo ya watu kuyafata ili kuendelea kutengeneza uhusiano na yeye. By the vitamu vingi haramu🙂 hiyo amri sita inakusumbua pia……?
 
Mungu alipomuumba Adam na baadae Eva (Hawa) aliwafungisha ndoa na kuwaagiza wazae na waijaze dunia???

Lakini kumbukeni kuna kitu inaitwa FUMBO LA IMANI!

Fumbo gani hilo??? Kazi kwako!

Kristo alikufa, Kristo alifufuka, Kristo atakuja tena...
 
Kuna amri pia kuwa usiue, imewekwa ingawa hawakua kule Eden.
Mungu anataka kuona utiii wetu kwake, anataka wale wanaomwabud kwa Roho safi na ukweli, so katika kuangalia utiii anaweka mambo ya watu kuyafata ili kuendelea kutengeneza uhusiano na yeye. By the vitamu vingi haramu🙂 hiyo amri sita inakusumbua pia……?
mimi siyo sana ... wewe inakutesa eeh?
 
Soma Biblia vizuri uone....Eva alilila tunda akiliona linafaa na linatamanisha kisha akampelekea Adam ili naye ale....

Hivyo swala la papuchi na dushe ni urongo
ujue biblia imeandikwa kwa mafumbo sana ndiyo maana tunakosa maana kamili ya Mungu ni nini? sasa kule eden ilikuwa tunda gani hilo na je leo hilo tunda lipo?
 
Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani....

Napitia bible kila siku... na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula....

Je ni mti gani maana nikijenga picha bado sipati..

Karibun kwa mjadala
...we unataka kuelezwa nini ? bible imeshasema mti asa hujaelewa nini hapo. ingekuwa kitu kingine bible ingesema wazi,mfano lutu alipo zini n watoto wake imeelezwa wazi, watu wa sodoma na gomora mambo waliyofanya yameelezwa wazi, kila aina ya uasi bible imewea wazi, kwa nini kwenye hili mnataka iwe mnavyowaza nyinyi...?
 
yani mwili wa mwanaume akivua nguo dushe inakuwa kama tunda mtini sasa eva akamwambia adam mimi na mdomo wa kula kwa hiyo eva akachukua tunda akaingiza kwenye mdomo wakawa wamekula tayari.. ndipo wakajiona uchi kwa kuwa walishtuka kumbe unaweza kula na bado ikabaki .. adam akaanza kujificha ili eva asiendelee kumla...

Sidhani kama unachosema ni sawa maana baada ya kuumbwa kwa Eva... Sir. God aliwaambia zaeni mkaongezeke na kuijaza dunia
 
...we unataka kuelezwa nini ? bible imeshasema mti asa hujaelewa nini hapo. ingekuwa kitu kingine bible ingesema wazi,mfano lutu alipo zini n watoto wake imeelezwa wazi, watu wa sodoma na gomora mambo waliyofanya yameelezwa wazi, kila aina ya uasi bible imewea wazi, kwa nini kwenye hili mnataka iwe mnavyowaza nyinyi...?

Watu wanatafsiri wanavyotaka wao.
 
Biblia haina siri kama vile ambvyo tunafikiri ingekuwa ni swala la mb na km ingeeleza wazi kama ilivyoeleza wakati wa Sodoma
 
Back
Top Bottom