Mti waliokatazwa Adamu na Hawa kula ulikuwa mti gani?

Mti waliokatazwa Adamu na Hawa kula ulikuwa mti gani?

inasemekana hata mtoto wa kwanza mwenye jina la kaini hakua mtoto halali wa adam na ndio maana alikua na roho mbaya na ndio kizazi kilichoendelea mpaka leo
sasa atakuwa mtoto wa nani though kulikuwa na only two people???
 
Papuchi sio kweli kwa sababu hawa alikuwa kwanza pekee yake yale matunda akaona matamu akambebea na Adamu

wakati eva yupo peke yake alitokea shetani kwa umbo la nyoka alafu akajigeuza kuwa binadamu akamgegeda eva baada ya hapo eva akampelekea papuchi adam naye akagegeda! believe me or not tatizo mnasoma biblia tu ndo maana mnakosa majibu!
 
inasemekana hata mtoto wa kwanza mwenye jina la kaini hakua mtoto halali wa adam na ndio maana alikua na roho mbaya na ndio kizazi kilichoendelea mpaka leo

alikuwa ni wa shetani kwa vile shetani ndiye aliyeanza kumgegeda eva then ndio akafuatia Adam ikumbukwe kuwa shetani alikuwa anajua kila kitu maana alikuwa next in command after God ndo maana muamala ulifanikiwa lakini pia ndo hapo hapo ugomvi ulipoibuka kati ya Mungu na Shetani.
 
Duuu nimepata majibu mapya humu hakika nimetoka na new idea
 
Back
Top Bottom