Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani....
Napitia bible kila siku... na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula....
Je ni mti gani maana nikijenga picha bado sipati..
Karibun kwa mjadala
Mambo mengine kwa akili ya kibinadamu huwezi kuyaelewa. Nakushauri ujisajili darasa/masomo ya Tauhidi labda utaelewa.