miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Kwani hujui kuwa mke ni msaidiz…? Unahisi alikuwa na kaz gan…? Jamaa alitakiwa ku populate na kuitawala Bustani, so msaidiz kaja kwa ajili ya kazi hizo...
yani mwili wa mwanaume akivua nguo dushe inakuwa kama tunda mtini sasa eva akamwambia adam mimi na mdomo wa kula kwa hiyo eva akachukua tunda akaingiza kwenye mdomo wakawa wamekula tayari.. ndipo wakajiona uchi kwa kuwa walishtuka kumbe unaweza kula na bado ikabaki .. adam akaanza kujificha ili eva asiendelee kumla...
Kama mtapata jibu la huo mti, tafakarini na mti wa Uzima ni upi na upo wapi?
Akaingiza mdomo upi Miss Chaga
nasikia ni papuchi na dushelele
Kumbuka alianza kulila Eva ndo akampelekea Adam...
mke ni msaidizi lakini why akusema kuwa wafanye mapenzi akuwaambia... ila baada ya kugundua tunda la utamu akaja kuweka amri ya sita USIZINI alafu ni amri ambayo wanafanya wengi tena kwa sifa sana..
Mungu alipomuumba Adam na baadae Eva (Hawa) aliwafungisha ndoa na kuwaagiza wazae na waijaze dunia???
Lakini kumbukeni kuna kitu inaitwa FUMBO LA IMANI!
Fumbo gani hilo??? Kazi kwako!
unataka kusema eva alifanya punyeto? mmmh sijui haya
papuchi ..kwani we hujui lakin?
mimi siyo sana ... wewe inakutesa eeh?Kuna amri pia kuwa usiue, imewekwa ingawa hawakua kule Eden.
Mungu anataka kuona utiii wetu kwake, anataka wale wanaomwabud kwa Roho safi na ukweli, so katika kuangalia utiii anaweka mambo ya watu kuyafata ili kuendelea kutengeneza uhusiano na yeye. By the vitamu vingi haramu🙂 hiyo amri sita inakusumbua pia……?
Kristo alikufa, Kristo alifufuka, Kristo atakuja tena...
ujue biblia imeandikwa kwa mafumbo sana ndiyo maana tunakosa maana kamili ya Mungu ni nini? sasa kule eden ilikuwa tunda gani hilo na je leo hilo tunda lipo?Soma Biblia vizuri uone....Eva alilila tunda akiliona linafaa na linatamanisha kisha akampelekea Adam ili naye ale....
Hivyo swala la papuchi na dushe ni urongo
...we unataka kuelezwa nini ? bible imeshasema mti asa hujaelewa nini hapo. ingekuwa kitu kingine bible ingesema wazi,mfano lutu alipo zini n watoto wake imeelezwa wazi, watu wa sodoma na gomora mambo waliyofanya yameelezwa wazi, kila aina ya uasi bible imewea wazi, kwa nini kwenye hili mnataka iwe mnavyowaza nyinyi...?Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani....
Napitia bible kila siku... na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula....
Je ni mti gani maana nikijenga picha bado sipati..
Karibun kwa mjadala
yani mwili wa mwanaume akivua nguo dushe inakuwa kama tunda mtini sasa eva akamwambia adam mimi na mdomo wa kula kwa hiyo eva akachukua tunda akaingiza kwenye mdomo wakawa wamekula tayari.. ndipo wakajiona uchi kwa kuwa walishtuka kumbe unaweza kula na bado ikabaki .. adam akaanza kujificha ili eva asiendelee kumla...
...we unataka kuelezwa nini ? bible imeshasema mti asa hujaelewa nini hapo. ingekuwa kitu kingine bible ingesema wazi,mfano lutu alipo zini n watoto wake imeelezwa wazi, watu wa sodoma na gomora mambo waliyofanya yameelezwa wazi, kila aina ya uasi bible imewea wazi, kwa nini kwenye hili mnataka iwe mnavyowaza nyinyi...?
Sidhani kama unachosema ni sawa maana baada ya kuumbwa kwa Eva... Sir. God aliwaambia zaeni mkaongezeke na kuijaza dunia