Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani....
Napitia bible kila siku... na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula....
Je ni mti gani maana nikijenga picha bado sipati..
Karibun kwa mjadala
Sikumbuk vema kuwa kipi kilifata. Kwani Wale si walikuwa mume na mke ?
mti huo ni ubooo na kmaku.....
Na ndio maana baada ya ile
shughuli wakagundua wako utchi....
Kmaku...wema wake ni kupata mtoto
ubaya wake ni kwenda mwezini najisi...
nasikia ni papuchi na dushelele
Papuchi sio kweli kwa sababu hawa alikuwa kwanza pekee yake yale matunda akaona matamu akambebea na Adamu
Ulikuwa mti wa kujua mema na mabaya.
mimi siyo sana ... wewe inakutesa eeh?
So, inakutesa kidgo eeh. Angalia isije kuwa sana
mbona sasa hamsenmi hilo tunda ni lipi?
kidogo sana ... mbona ujanijibu wewe?
Mti huo ulikuwa kwenye bustani ya Eden, kumbuka baada ya dhambi hiyo Adam na mkewe walifukuzwa. Huo mti hauko accessible tena kwa wanadamu.
Kila mtu inampa shida sema kwa viwango tofauti. Bt situation ipo under control
- Mungu aliuweka mti wa ujuzi wa mazuri na mabaya katika bustani ya Edeni ili awape Adamu na Hawa chaguo la kumtii au kutomtii.
- Wengi wanasema kuwa mti wa katikati ni kuvunja amri au kuzini, sivyo, Biblia haimumunyi maneno, kuna mahali wameweza kuandika walawiti wangeshindwa nini kuandika juu ya huo mti.
- Siku tukijaliwa kukutana uso kwa uso na MUNGU atatupa ufafanuzi wa huo mti.
Watu wanatafsiri wanavyotaka wao.