Electromagnetism
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 482
- 126
sasa atakuwa mtoto wa nani though kulikuwa na only two people???inasemekana hata mtoto wa kwanza mwenye jina la kaini hakua mtoto halali wa adam na ndio maana alikua na roho mbaya na ndio kizazi kilichoendelea mpaka leo
sasa atakuwa mtoto wa nani though kulikuwa na only two people???
Papuchi sio kweli kwa sababu hawa alikuwa kwanza pekee yake yale matunda akaona matamu akambebea na Adamu
bibilia si ndio inaeleza ivo mimi sipo upande wa kusema tumetokana na adamu na hawa hii ni myth tutoeni data na evidence
inasemekana hata mtoto wa kwanza mwenye jina la kaini hakua mtoto halali wa adam na ndio maana alikua na roho mbaya na ndio kizazi kilichoendelea mpaka leo
Unaona eh! We ni genius, unaangalia mbali sanaPapuchi sio kweli kwa sababu hawa alikuwa kwanza pekee yake yale matunda akaona matamu akambebea na Adamu
Mama weeeee... Alikua mtoto wa nani..!?