Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nenda pumbavu.Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328216
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Nipashe
Takataka kama hii haina hata hadhi ya kuanzishiwa uzi humu.Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Nipashe
Muda huwa ni mwalimu wa kweli, ona haya majoka yalikuwa yamejibanza chadema huku yanakula ccm😂😂😂Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328216
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Nipashe
Namfahamu na ni mlevi kweli kwelimbona kama mlevi
Tena wa pombe chafumbona kama mlevi
Mamluki asiye na madhara yoyoteAkina mapunda Hao,wangoni na upinzani wapi na wapi.huyo alikuwa mamluki tuu
Nadhani huyu ajikite ktk kuwasaidia ndugu zake wa RUVUMA wapate ELIMU ili wafumbuke macho waone jinsi malori yanavyo hamisha utajiri wao kwa kasi huku wao wakiishia KUGALAGALA chini eti wanashukuru licha ya kuibiwa.Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Nipashe
Mjinga aende zakeAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe
Makapi yanazidi kujichekechaAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.