kweli hiki ni kipindi cha kupiga helaAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe
Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe
mapunda kama mapunda uraisi wa kuserereleka hadi magogoni bila kusukumwa hata na mgambo unataka tukuite nguchiro utufunge tabia za nguchiro kabisaAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe
Kabisa mkuu. huyu wakimuwahi anapona.Huu mtambo uende Mirembe.
Afungwe kamba apelekwe hospital ya mitambo.Kabisa mkuu. huyu wakimuwahi anapona.
na picha mumebadilisha baada ya KUHOJI ulevi wake mkaweka insta picture msaada wa mod JFAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe
Wasaliti wote walisha tambua manufaa yale ya usaliti hayapo tena ndani ya nyumba waliyofanya maigizo,ni muda wa kutafuta malisho mapya ya kijani kibichi.Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.
View attachment 3328217
Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Mapunda amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichoeleza tabia ya chama hicho chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ya kumshambulia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lugha za matusi.
Kufahamu wengine waliotimka Chadema: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Nipashe
Sijui aliingiaje chadema wacha aendeAliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho.