TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Ukaona ukiandika mkorogo kiswanglish ndio nitakuelewa Sana au,na ukiandika lugha moja kuwa sitakuelewa
Sasa wewe Bwana Mr Chopa,una wivu na mimi kuongea Kingereza au mimi kuongea Kiswahili?

Wivu mpaka wa lugha?

Punguza upumbavu wewe!

Na wewe kasome English uwe polished ili uache hizi sentensi za wivu wivu....!

Shida yako na mimi hasa ni lugha au kuna jingine maana na wewe kuna mahali kadhaa wa kadhaa umeweka Kingereza na Kiswahili,sasa tuseme wewe upo sawa na mimi sipo sawa?

Wewe kuelewa au kutoelewa ni entirely on you mimi sina uwezo wa kuingilia anything in your head!

Your head belongs to you not me!

One more thing,punguza wivu wa kisenge..kuna na wivu wa mambo serious wewe!

Lugha?Kichaa wewe
 
Duh hii famili ya Kisanga inakumbwa na mabalaa sana.

Kufa wote tutakufa, hawa nawaonea huruma, nadhani kwasababu nawafahamu baadhi yao ndio maana.

Wanaowafahamu watanielewa.
Mkuu

Kisanga ni ukoo umejaa tarafa nzima kubwa kama Kinondoni yote inaitwa Mbokomu,kila mtu ni Kisanga...

Plus another huge area called Old Moshi,which is bigger kama Ubungo yote kama wilaya...

Kisanga ni nearly watu malaki kadhaa kama sio maelfu!

Familia ya Kisanga unayotaka ni kama 10-Kisangas among 1000-Kisangas!

Kwahiyo relax...

Huyu afe kabisa!
 
Mkuu

Kisanga ni ukoo umejaa tarafa nzima kubwa kama Kinondoni yote inaitwa Mbokomu,kila mtu ni Kisanga...

Plus another huge area called Old Moshi,which is bigger kama Ubungo yote kama wilaya...

Kisanga ni nearly watu malaki kadhaa kama sio maelfu!

Familia ya Kisanga unayotaka ni kama 10-Kisangas among 1000-Kisangas!

Kwahiyo relax...

Huyu afe kabisa!
Hahaha nawafahamu wachache walioko jirani na hapa nilipo, mara kwa mara napata taarifa zao za hivi ndio maana ika comment vile sikuwa nazuia wasife mkuu.
 
Safari za Dar Dodoma hata kwa Vitz/ Passo sikuhizi watu wanaenda
-Pale Dodoma kuna hadi taxi za kwukuwahisha Dar kwa wabunge ambao wanatakaga kwenda Dar weekend bila magari yao wanaenda na Taxi(Premio, Corona nk) na madereva wa Kijiwe cha Dodoma Hotel wanapiga hela

-Halafu pia alikua mzoefu Mwezi uliopita alikuwepo kwenye mkutano mkuu na hapa juzi ndo alikwenda kumsindikiza JPM kuchukua fomu na alishafika akawa anasubiria mkutano wa UVCCM.

- Alipata ajali sehemu alitoka kula Kisasa mwisho nadhani wakati anarudi barabarani ndo lori likamzoa

Pia alikua anatumia Cruiser II mara nyingine
View attachment 1532927
Poleni ndugu,jamaa na marafiki.

Angekuwa na huyo farasi wa maziwa angetoka salama.
 
Pole nyingi kwa familia , Ndugu na jamaa wote wa Dk Kisanga! Mola wetu ailaze roho yake pahala pema peponi!
 
Amenikumbusha kamanda Mohammed Mtoi
 

Attachments

  • Msiba.jpg
    Msiba.jpg
    27.4 KB · Views: 1
R.I.P Donald Kisanga.
===
Mtaalamu Yericko Nyerere ( forensic expert) njoo tafadhali. Tusaidie kutoa ufafanuzi kama hiyo ajali ilisababishwa na mwendokasi kwa kutazama gari iliyogongwa? Nadhani maelezo yako hayataathiri hatua za uchunguzi wa ajali hiyo.
 
Back
Top Bottom