Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sasa wewe Bwana Mr Chopa,una wivu na mimi kuongea Kingereza au mimi kuongea Kiswahili?Ukaona ukiandika mkorogo kiswanglish ndio nitakuelewa Sana au,na ukiandika lugha moja kuwa sitakuelewa
Wivu mpaka wa lugha?
Punguza upumbavu wewe!
Na wewe kasome English uwe polished ili uache hizi sentensi za wivu wivu....!
Shida yako na mimi hasa ni lugha au kuna jingine maana na wewe kuna mahali kadhaa wa kadhaa umeweka Kingereza na Kiswahili,sasa tuseme wewe upo sawa na mimi sipo sawa?
Wewe kuelewa au kutoelewa ni entirely on you mimi sina uwezo wa kuingilia anything in your head!
Your head belongs to you not me!
One more thing,punguza wivu wa kisenge..kuna na wivu wa mambo serious wewe!
Lugha?Kichaa wewe