IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Happy Sabbath Brother.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani niungane na wewe hapo ila vipi leo watakuwa na ule utaratibu wa kupika mavyakula na kukaribisha wageni kula?Sabato Njema!
Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike.
Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na kwake tunajivunia yeye pekee.
Huyo àmbaye amewashikilia Adui zetu. Tenà amewapa Hofu ya kututendea Yale Mabaya.
Huyo mmoja na wapekee, aliyetuweka mbele ya Adui zetu Kwa Miaka na Miaka, aliyetuweka mbele Kwa kizazi na kizazi juu Yao.
Huyo aliyewaangusha mara elfu na kuwaweka chini Kabisa wale waliothubutu kusogea katika njia zetu. Akaangusha mawazo Yao, akafuta Majina Yao, na vizazi vyao vikabaki shimoni Siku nyingi.
Huyo na Wala hapana Mwingine tunayemuamini, Wala hapana tumtegemeaye isipokuwa yeye.
Yeye mwenyewe alisema, ndiye Baba yetu. Nasi tuwatoto wake.
Leo Mtibeli atakuwa Kanisa la Wasabato la Magomeni. Karibuni wote
Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hapana, kama siyo kazi kanusha tu mjadala uishe.
Natamani niungane na wewe hapo ila vipi leo watakuwa na ule utaratibu wa kupika mavyakula na kukaribisha wageni kula?
Happy Sabbath Brother.
Hongera sana. Kuna watu wapo Tanesco/Vodacom muda huu hawafanyi kazi ya Mungu ila ndio wanaokufanya uandike humuSiku zote ukiniona Hapa ujue nafanya Kazi ya Mungu.
Na Hilo siô Kosa.
Kazi ya Mungu hufanyika Masaa yôte, Siku zote, Miaka yôte.
Kazi zetu zina likizo, Mapumziko n.k
Ngoja nijongee hapo Kaka ,Mimi ukiona mtu mfupi Sana na ana kitambi kikubwa ila maji ya kunde basi jua ni Mimi .😊😊
Bila Shaka Mkuu
Wanaitaga sabato ya wageni huwa kuna misosi ya kufa mtu kasoro kiti moto tu. Nilikuwa naalikwa sana enzi za utotoniNatamani niungane na wewe hapo ila vipi leo watakuwa na ule utaratibu wa kupika mavyakula na kukaribisha wageni kula?
Mwisho wa dunia lini?Sabato Njema!
Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike.
Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na kwake tunajivunia yeye pekee.
Huyo àmbaye amewashikilia Adui zetu. Tenà amewapa Hofu ya kututendea Yale Mabaya.
Huyo mmoja na wapekee, aliyetuweka mbele ya Adui zetu Kwa Miaka na Miaka, aliyetuweka mbele Kwa kizazi na kizazi juu Yao.
Huyo aliyewaangusha mara elfu na kuwaweka chini Kabisa wale waliothubutu kusogea katika njia zetu. Akaangusha mawazo Yao, akafuta Majina Yao, na vizazi vyao vikabaki shimoni Siku nyingi.
Huyo na Wala hapana Mwingine tunayemuamini, Wala hapana tumtegemeaye isipokuwa yeye.
Yeye mwenyewe alisema, ndiye Baba yetu. Nasi tuwatoto wake.
Leo Mtibeli atakuwa Kanisa la Wasabato la Magomeni. Karibuni wote
Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hivi Kilicho Gizani Huwaga Hakionekani??Na Kama Hakionekani Umefahamu Vipi Yu Gizani Huyo Muumba,,###UsiturusheStimu###Nakuja Na Kambale Hapo,,Tuone Namna Ya Kuwapigia Harambee Tupate Hata Hela Ya Kuwachangia Wahitaji Wa YehovaSiku ya ibada àmbayo ni Sabato àmbayo hata Quran inaijua, mitume na Manabii, na Wakuu wôte na Yule mwenye Ñguvu mmoja aliyegizani àmbaye hatutakuja kumwona kwani hakuwahi kuonekana na hatakuja kuonekana, ndiye Mungu Kwa cheo. Aliagiza wale walioumbwa katika Dunia hii waiheshimu, kuitakasa, na kustarehe katika Bwana, Mungu. Siku ya Saba, Siku ya Birthday ya uumbaji wa Dunia na vilivyomo. Ndîo Siku ya Sabato, Siku ya Saba.
Huyo ndiye anayewafanya Wasabato, Watibeli, Wayahudi na makundi mengine Duniani yanayomuabudu Yule aliyeumba huu ulimwengu na Maisha ya vilivyomo
Sabato njema.
Umenikumbusha Rafiki yangu Katika Kristo, Bulilo Mafwimbo, he's no more. Rest Easy Rafiki.
Uniombee.
Watibeli ni watu wa wapi? Kihistoria na kimakazi
M barikiwe na MUNGU wa Abraham.
Waebrania 4:9
Ukitoka hapo kanisani karibu hapa manzese tupate mbuzi katoliki(noah) na bia mbilitatu tukiisindikiza weekend.