Mtibeli leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Magomeni. Ninawakaribisha wôte.

Natamani niungane na wewe hapo ila vipi leo watakuwa na ule utaratibu wa kupika mavyakula na kukaribisha wageni kula?
 
Siku zote ukiniona Hapa ujue nafanya Kazi ya Mungu.
Na Hilo siô Kosa.
Kazi ya Mungu hufanyika Masaa yôte, Siku zote, Miaka yôte.

Kazi zetu zina likizo, Mapumziko n.k
Hongera sana. Kuna watu wapo Tanesco/Vodacom muda huu hawafanyi kazi ya Mungu ila ndio wanaokufanya uandike humu
 
Mwisho wa dunia lini?
 
Hivi Kilicho Gizani Huwaga Hakionekani??Na Kama Hakionekani Umefahamu Vipi Yu Gizani Huyo Muumba,,###UsiturusheStimu###Nakuja Na Kambale Hapo,,Tuone Namna Ya Kuwapigia Harambee Tupate Hata Hela Ya Kuwachangia Wahitaji Wa Yehova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…