Mtibeli leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Magomeni. Ninawakaribisha wôte.

Sabath njema wote...
 
Acha kuwafananisha wana wa Hellen.G.White na wahuni
 
Wasabato na mashahidi wa jehova nimesoma vijarida vyenu sana, kuna kitabu kimoja cha kisabato kinaitwa pambano kuu kama sikosei🤔🤔🤔
 
Amina. Barikiwa.
 
Asante sana mkuu 😊

Nimesoma Sana hivyo nikiwa under ten years.
Vimenisaidia kujua Dunia ya Wakati wa kale nikiwa mdogo Sana

Nilivisoma kama vitabu vya kihistoria na vya kuelimisha sikuvisoma kama vitabu vya Dini.

Kûna vitabu kadhaa nje ya vitabu vya Wasabato kama

1. Jitihada za Aina binadamu katika kumtafuta Mungu waô
2. Bahaula na Siku zetu
3. Maisha ya Mtume Muhammad n.k.

Vitafute ni vizuri
 
Huwa vitabu vyote ikiwa pamoja na biblia ninavisoma kama riwaya tu, kama ile riwaya ya siku njema ya keni walibora🤔

Nitavisoma hivyo pia.
 
Natamani Mufti mkuu WA Tanzania awadai warudi nyumbani kwenye uislam maana ñi wakristo feki wanaopaswa kuwa na jina lingine... wengine ni Mormon na witness,,,njooni hata kesho asubuhi muwachukue,,,hatuwataki kabisa..
 
Maisha ya Mtume Muhammad yanasisimua sana wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…