Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
itakuwa wamelambishwa asali ile ya buku saba saba!Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi
Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Anavyojiona kichwa sasa!!!Dokta mapaka nae ni mtu wa kumjadili bwashee?
Na usipo kuwa makini unaweza dhani ni kichwaAnavyojiona kichwa sasa!!!
Hao Robert Heriel Mtibeli na HAYA LAND HOV pamoja na watu wengine wote wanaoandika maakala za ku DISCOURAGE maandamano wanafanya kazi iliyopevuka kwa Taifa letu.Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi
Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi
Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Amna mtu muleAnavyojiona kichwa sasa!!!
Ndumila kuwiliDuuh! Utakuwa umemfananisha Mtibeli.
Ukishasema mtibeli umeshataja HAKI, UKWELI, UPENDO NA AKILI.
Nikiwa kama Mtibeli miaka yote nipo upande wa Haki.
Sitaki mtu au kiumbe chochote kionewe hata kama kiumbe hicho ni shetani.
Haki ni kwa wote sio kwa Wema tuu bali hata wabaya.
Anyway! Embu nipe hoja zako nione huenda na discourage wapiganaji wa haki pasipo kujua. Nipe hoja
Washaingia kwenye payroll ya buku 7
Sawa. Nyie endeleeni kudai hiyo haki mnayoitakaTABIA ZA WAISLAMU HIZO ...SIJUI KAMA HAO ULIOWATAJA SIYO WAISLAMU ITAKUWA NI AJABU KUU
Aliyeanzisha hii mada unajua ni nani?ππππDokta mapaka nae ni mtu wa kumjadili bwashee?
Hakika mkuu barikiwa sanaHao Robert Heriel Mtibeli na HAYA LAND HOV pamoja na watu wengine wote wanaoandika maakala za ku DISCOURAGE maandamano wanafanya kazi iliyopevuka kwa Taifa letu.
Kwa vijana wenye akili inayofanya kazi sawasawa wanaelewa na wanaaachana na UHAYAWANI wa maandamano ambao unashabikiwa sana na wanaharakati walio nje ya nchi kama MangeKimambi na Maria Sarungi
Hahaha ni Nan Hannah?Aliyeanzisha hii mada unajua ni nani?ππππ