October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kuna kajamaa hapa kamegeuka kanabii kabuzwagi. Stori zake za kuungaunga zisizo na mbele wala nyuma. Kameacha ushauri wa ndoa na mapenzi kameingia anga za juu. Robert Heriel Mtibeli na genge lako britanicca TumainiEl MALCOM LUMUMBA mmeshikwa pabaya. Usije jishaulisha zimebaki siku mbili uende kuaibika. Mwenzako Britannica mikeka yake yote imechanika, tulimpa matango pori ameishia kubwabwaja. Na bado! Mwaka huu mbona mtatamani kugeuka samaki wa Nungwi. Hahahaha! Na bado