October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Na bado!Zilikuwa mbwembwe tu
Ohoo
Zenyu?? Lugha ya wapi hii??
Usilie Mkuu. Ndoa kwanza tumeanzaHuu uzi umekaa kimakumaku tu..
Imagine ni baba na mume wa mtu huyu
Oktoba mnatiki congratsHahahaha! Na bado! Washangaa, mbona bado
Oktoba mnatiki congrats
Inasikitisha sana
Muda wa kufundisha wanafunzi saivi uko kwenye mitandao unafanya uchawa...hustahili hio kazi ya ualimu unanajisi kazi ya ualimu , Bora waapewe jobless wengine waliopo benchi...wewe uende kutikisa makalio kwenye vikao vya chama .
Huyo Brittanica kuna wakati mpaka alijifanya kwenda vijijini ndani ndani kabisa huko Russia kufuatilia maisha ya Dr. Shika๐
Muda wa kufundisha wanafunzi saivi uko kwenye mitandao unafanya uchawa...hustahili hio kazi ya ualimu unanajisi kazi ya ualimu , Bora waapewe jobless wengine waliopo benchi...wewe uende kutikisa makalio kwenye vikao vya chama .Mlete mtoto shule za Samia nimfunze asiwe mjinga kama wewe