Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Ahahaaaaaa.....
 
Tupo mzunguko wa kwanza,ligi bado ni mbichi.

Msimu huu Simba anabeba ubingwa wala msihofu wanasimba wenzangu.leo atujafungwa tume draw na point moja mkononi.
Hii kusuasua ya mzunguko huu wa kwanza autotokea mzunguko wa pili,timu itaimarika zaidi na ubingwa ni wa Simba.

Wanaojinasibu sasa watakuja kulia na kulalama mzunguko wa pili.

Nguvu moja.
 
tatizo ni kwenye nguvu moja, imeisha imebaki nguvuless
 
Nguvu 0 hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafanya hujuma za wazi wazi kabisa

Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
Kwenye kizingiti weka ndalama
 
Hili nikwamaslahi ya soka letu.tukiendelea na ujinga na ushabiki maandazi kama huu kamwe usitegemee soka la nchi kufika mbali.Maendeleo ya mpira ni pamoja na miundombinu bora.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa masirahi pamana ya soka kila timu iwe na uwanja wake Mtibwa wameweza mmeenda mkacheza vizuri tu uzuri hamjafungwa mngefungwa ungekuwa utetezi wenu, sasa na nyie wapelekeni Mtibwa kwenye uwanja wenu wa Bunju mbona Mtibwa wameweza nyie mshindwe mna nini?
 
Yani ww yafaa uwe katika kitengo cha ushauri na saha kwa mane no matamu maana wagonjwa wote wa ukimwi hawatokufa kwa maneno matamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…