bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
[emoji23][emoji23][emoji23]Ubingwa ni wetu ni Jambo la muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ubingwa ni wetu ni Jambo la muda tu
Tayari mmepaona pa kusingiziaWanafanya hujuma za wazi wazi kabisa
Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
Ahahaaaaaa.....Kocha amesha ambiwa, akianza kupiga viti atafungwa kamba.kwasasa ameonyesha utulivu Kama yupo Madrid.
Mpira ni mapumziko na viongozi wa Simba wanajaribu kutafuta eneo lililo inuka ili wapate WIFI kwakua kocha anataka kuwasiliana na Zidane maana mechi imekuwa ngumu.
Wewe sasa unaleta ubishi Yanga katangulia tu kama mwaka janaHatuwezi kuishi kwa mambo ya mwaka jana. Simba hawezi kuwa bingwa
Hapo uwanja huo hamtachezesha mikia tu. Ujue na Mtibwa wanacheza pia,au wenyewe sio wa kawaida?Wanafanya hujuma za wazi wazi kabisa
Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
tatizo ni kwenye nguvu moja, imeisha imebaki nguvulessTupo mzunguko wa kwanza,ligi bado ni mbichi.
Msimu huu Simba anabeba ubingwa wala msihofu wanasimba wenzangu.leo atujafungwa tume draw na point moja mkononi.
Hii kusuasua ya mzunguko huu wa kwanza autotokea mzunguko wa pili,timu itaimarika zaidi na ubingwa ni wa Simba.
Wanaojinasibu sasa watakuja kulia na kulalama mzunguko wa pili.
Nguvu moja.
Basi sawa kateni rufaa kwenye bodiSwala la timu zingine kucheza kwenye kiwanja kibovu sio sababu ya simba wapenda soka kulizungumzia.Hii ni aibu yakujitakia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwisha kazi. Hakuna haja ya kulia liaViwanja vya sampuli hii hakuna sababu ya kucheza mpira wa kitabuni, hapa ni kutafuta matokeo tu, piga ndefu tukachezee golini kwao
Nguvu 0 hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Tupo mzunguko wa kwanza,ligi bado ni mbichi.
Msimu huu Simba anabeba ubingwa wala msihofu wanasimba wenzangu.leo atujafungwa tume draw na point moja mkononi.
Hii kusuasua ya mzunguko huu wa kwanza autotokea mzunguko wa pili,timu itaimarika zaidi na ubingwa ni wa Simba.
Wanaojinasibu sasa watakuja kulia na kulalama mzunguko wa pili.
Nguvu moja.
Hili nikwamaslahi ya soka letu.tukiendelea na ujinga na ushabiki maandazi kama huu kamwe usitegemee soka la nchi kufika mbali.Maendeleo ya mpira ni pamoja na miundombinu bora.Basi sawa kateni rufaa kwenye bodi
Hahaaaa. Mko sahihi kabisa.Tuachee..
Usiseme hivyo sie tunachanga hela za kujenga uwanja bunju
Kwa mpira wa Leo na Mbeya nakuunga mkono.Hatuwezi kuishi kwa mambo ya mwaka jana. Simba hawezi kuwa bingwa
Duuh...! Kama ni wa aina hii mpigaji mtama ni fundi,nae aliepigwa itakuwa alijilegeza kibwege sanaHii ndio rough aliyochezewa Gadiel michael na banda, ila kwa tafsiri ya refa ni physically contacts
View attachment 2091868
Ahahahaaaaa....Defendini na nyie hip hop unadeka unalalamika nilikuwa nakuona hip hip kumbe zuchu
Kwenye kizingiti weka ndalamaWanafanya hujuma za wazi wazi kabisa
Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
Kwa masirahi pamana ya soka kila timu iwe na uwanja wake Mtibwa wameweza mmeenda mkacheza vizuri tu uzuri hamjafungwa mngefungwa ungekuwa utetezi wenu, sasa na nyie wapelekeni Mtibwa kwenye uwanja wenu wa Bunju mbona Mtibwa wameweza nyie mshindwe mna nini?Hili nikwamaslahi ya soka letu.tukiendelea na ujinga na ushabiki maandazi kama huu kamwe usitegemee soka la nchi kufika mbali.Maendeleo ya mpira ni pamoja na miundombinu bora.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yani ww yafaa uwe katika kitengo cha ushauri na saha kwa mane no matamu maana wagonjwa wote wa ukimwi hawatokufa kwa maneno matamuTupo mzunguko wa kwanza,ligi bado ni mbichi.