kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa.
Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya kudai haki yako kama TFF, CAF, FIFA na mahakamani kupata Suluhu.
Mtibwa ni timu kubwa kuliko Ihefu, Mbeya kwanza, geita mines, polisi, Azam au Namungo, haipaswi kudai madeni kwa njia hiyo.
Ukimsikia sauti yake atajuwa TU kuwa hayuko sawa, ama ametumwa na Simba au ana mashaka na timu yake kushuka daraja hasa baada ya kuchapwa na Yanga goli za kutosha.
Kwenye mechi Ile Kifaru alikuwa na uhakika kuwa Yanga itafungwa au kutoka sare na mtibwa lakiñi haikuwa vile, alichanganyikiwa yeye, timu yake na mashabiki na wadau wa Simba wote.
Binafsi ninaishauri mtibwa kama Wana madai watumie njia rasmi na kudai madeni badala ya kwenda Wasafi FM (wadau wengine wa Simba waliokerwa na matokeo ya mtibwa dhidi ya Yanga)
Wasafi FM walipaswa kabla ya kurusha hewani madai ya Kifaru wawe Wana majibu ya upande wa Yanga pia ili kubalance habari kwenye kipindi chao. Lakiñi Cha ajabu wafasi walikimbilia kurusha malalamiko ya Kifaru bila kuwapata upande wa pili kujibu, bahati baadhi Yao humo Wasafi wakashauri utafutwe upande wa pili (Yanga) kesho yake kujibu.
Kwanini story isingesubiri upande wa pili kwanza ili malalamiko na majibu viruke vyote hewani siku moja? Hii ni kuonyesha kuwa ni tragedy kwa Yanga.