Mtibwa Sugar wamechanganyiwa timu kufanya vibaya

Sijachanganya kitu, Kifaru kabla ya mechi Yao na Yanga alijiapiza lazima kuiharibia Yanga. Hivi unadhani alimaanisha nini? Anaiharibia dhidi ya timu ipi? Yaani bila kupepesa macho akitaka kuisaidia Simba kwa kupunguza pengo la points. Ona radio ya kwanza kurusha madai ya Kifaru ilikuwa Radio gani, ona vijichambuzi vya hiyo radio vilivyoikimbiza taarifa hewani bila kupata taarifa ya upande wa pili. Kulikuwa na haraka gani kwenda hewani kabla ya kubalance story?

Kwanini Mtibwa hawakuishitaki Yanga bodi ya ligi, TFF, CAF, FIFA au kwenda mahakamani kudai? Weledi uko wapi?

Ukweli ni kwamba kulikuwa na mhemko wa mtibwa kuchomekwa magoli 2 kavu na pengo kati ya Simba na Yanga kuongezeka.

Kulikuwa
Sasa mkuu hiyo redio sijui kukimbilia kurusha hiyo habar kama usemavyo
.......Simba anaingiaje hapo ?

Mtibwa kutokwenda kushtaki sijui huko ulikosema na kuita sijui waandishi ...Simba anaingiaje hapo ??

YANGA hajafungwa na ndo timu pekee haijafungwa so far Tanzania pengine Africa nzima(maana hizi ndo sentensi mnazipenda kweli) ......sasa huoni kama kila timu inataman kuiharibu hiyo record ili nayo ijenge rekod yake ? sioni ubaya wa kifaru Au timu yoyote kutaman kupata matokeo mbele ya Yanga ya sasa japo ndo Ivo inashindikana ......

ulikua Una points ila kaunazi kamezidi sana mkuu , relax kdg.
 
Mtibwa anatamani point 3 kutoka Yanga ili asogee kidogo mbele lakini hainufaiki na kuiharibia Yanga. Anaenufaika na kuharibiwa Yanga kwa sasa ni Simba sio vinginevyo. Neno kuiharibia Yanga kama alivyolitumia Kifaru hakumaanisha kuiharibu rekodi yake ya kutokufungwa, bali alimaanisha kupunguza pengo.
 
amna banah km kweli wanadaiwa walipe tu, mbn mtibwa wamekua wakiuza wachezaji miaka mingi tu na hawana historia ya ukorofi!!! mbn kifaru kaongea vzuri tu wala hajaikosea heshima au kukejeli,
Kwenda chombo Cha habari ingekuwa baada ya njia nyingine zote kushindikana. Kwasababu kwenda vyombo vya habari Kuna tafsiri nyingi;kuomba hiruma za umma zikusaidie kudai, kuaibisha, kunyong'onyesha wadau wa Yanga ili wasiiamini Yanga na wadhamini wake, au kuwaondoa Yanga kwenye reli na kuanza kuhangaika na media.
 
mi naww hatujui labda hzo njia zngne zmesndkana, halafu mbn hz timu kubwa ndo znaongoza kulalamika kwe vyombo vya habari mkuu! mara ngapi umeiskia mtibwa ikilalama kwe media?
 
Mtibwa anatamani point 3 kutoka Yanga ili asogee kidogo mbele lakini hainufaiki na kuiharibia Yanga. Anaenufaika na kuharibiwa Yanga kwa sasa ni Simba sio vinginevyo. Neno kuiharibia Yanga kama alivyolitumia Kifaru hakumaanisha kuiharibu rekodi yake ya kutokufungwa, bali alimaanisha kupunguza pengo.
Yaani Mtibwa apate matokeo chanya kutoka kwa Yanga kwa maana ya Ushindi au Sare (pointi tatu au moja) halafu "Mtibwa huyohuyo" awe hanufaiki na matokeo hayo ?

Nilijua nimeshaona maajabu yote Duniani, kumbe hata ya Tanzania tu sijayamaliza.

Daima mbele, nyuma mwiko.
Nguvu moja.
Timu bora, bidhaa.
 
Sawa mkuu naona umekunywa maji ya bendera ....hatutoweza kuelewana ....

Baki na mtazamo wako mkuu.
 
mi naww hatujui labda hzo njia zngne zmesndkana, halafu mbn hz timu kubwa ndo znaongoza kulalamika kwe vyombo vya habari mkuu! mara ngapi umeiskia mtibwa ikilalama kwe media?
Mkuu sina uhakika kama Mtibwa ingeifunga Yanga Kifaru angeyasema Leo na sio kesho.
 
ht yanga huwa analalamikia waamuz akifungwa au droo na si akishinda, wailipe tu mtibwa waone km wataongea
 
Yaani Mtibwa apate matokeo chanya kutoka kwa Yanga kwa maana ya Ushindi au Sare (pointi tatu au moja) halafu "Mtibwa huyohuyo" awe hanufaiki na matokeo hayo ?

Nilijua nimeshaona maajabu yote Duniani, kumbe hata ya Tanzania tu sijayamaliza.

Daima mbele, nyuma mwiko.
Nguvu moja.
Timu bora, bidhaa.
Mtibwa angepata point 3 TU lakini hanufaiki na kauli ya kumharibia Yanga. . Hakuna timu isiyofungwa duniani lakini Yanga ikifungwa Leo itakuwa furaha kubwa kwa Simba kuliko kwa Azam au Mtibwa.
 
ht yanga huwa analalamikia waamuz akifungwa au droo na si akishinda, wailipe tu mtibwa waone km wataongea
Asome TU Mkata wa kumuuza Msheri. Kwanini hawapi waandishi habari huo mkataba ili watu wajue unahusu lini. Wakati wa kumuuza hukwenda kwenye Media Sasa hivi Ndio unasema umbeya kwenye media.

Angekuwa mm ningempeleka Kifaru mahakamani
 
Mtibwa angepata point 3 TU lakini hanufaiki na kauli ya kumharibia Yanga. . Hakuna timu isiyofungwa duniani lakini Yanga ikifungwa Leo itakuwa furaha kubwa kwa Simba kuliko kwa Azam au Mtibwa.
Kwahiyo Yanga haitaki kufungwa kwa sababu Simba itafurahi ?
Haya mkuu, uwe na muda mwema.
 
Asome TU Mkata wa kumuuza Msheri. Kwanini hawapi waandishi habari huo mkataba ili watu wajue unahusu lini. Wakati wa kumuuza hukwenda kwenye Media Sasa hivi Ndio unasema umbeya kwenye media.

Angekuwa mm ningempeleka Kifaru mahakamani
ok sawa
 
Wewe endelea na manung'uniko tu na makasiriko tu... Lakini ndo ukweli

Hayo majina mnayatoa wenyewe..Sisi hatuhusiki isipokuwa kazi yetu ni kunukuu tu nakuweka hapa ubaoni..!

Kwahivyo shida ipo huko kwenu hapo.
makasiriko yapi mtani 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom