Mtibwa Sugar wamechanganyiwa timu kufanya vibaya

Moringa anasema yeye ni zaidi ya Mayele!
 
Nadhani watanzania umasikini wenu ni kwasababu hampendi ukweli na mnapenda sana ushabiki Tu!!...Iko wazi Mtibwa wanaidai Yanga wewe unakuja na ushabiki hivi lini mnaweza kuwa na mambo ya Msingi?!!..
 
Nadhani watanzania umasikini wenu ni kwasababu hampendi ukweli na mnapenda sana ushabiki Tu!!...Iko wazi Mtibwa wanaidai Yanga wewe unakuja na ushabiki hivi lini mnaweza kuwa na mambo ya Msingi?!!..
Inadai shilingi ngapi? Wewe na Mimi tunasaidiaje Yanga kulipa deni hilo. Madeni yanaidiwa hivyo, crazy??
 
Inadai shilingi ngapi? Wewe na Mimi tunasaidiaje Yanga kulipa deni hilo. Madeni yanaidiwa hivyo, crazy??
Unataka wadaije fedha Yao!!..Kama privacy imeshindikana?!!...Acha kuongelea mambo ambayo hata hujui unaleta ushabiki Tu!!..Yanga wanadaiwa hili liko wazi means za Mtibwa za kudai Kwa uungwana zimeshindikana unataka wasije public kusema?!!..Unaona aibu Kwa Yanga kudaiwa fedha kidogo namna hiyo na wanashindwa kulipa (hawana fedha)!!.. Ukidaiwa lipa mbona tunadai serikali na wakichelewa tunapeleka mahakamani na kwenye vyombo vya Habari tunatoa!!..Eti hiyo ndio njia ya kudai unajua jinsi mjinga anavyotaka kutapeli anafanyaje?!!..Am doing business anyway Yanga wanadaiwa haijalishi Mtibwa wanatumia njia gani za kudai lakini wanadai!!
 
Ushabiki maandazi huo, mbona hatujasikia wamepelekana bodi ya ligi, TFF, Caf, FIFA au mahakamani? Yaani media ilitakiwa kuhusika kutoa taarifa ya mwenendo wa swala la deni bodi ya ligi, TFF au fifa au mahakamani. Acha kushabia upuuzi
 
Wewe hukutaka kusikia Yanga inadaiwa?!!..walipie sasa
 
Hiyo ni vita ya nje ya uwanja. Ndio maana Yanga hawakuvijibu vichambuzi uchwara. Haya tuone Sasa deni litalipwaje kwa njia ya media. Haya ushajua Sasa kwamba Yanga inadaiwa ssaidia walipwe haraka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…