Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Watu wa bank au wanao deal na kutunza fedha wanajua! Ila kwenye mashule duh! Itakuwa ndio mfumo mpya kuwa na strong room za kutunzia mitihani.
Watu wa bank au wanao deal na kutunza fedha wanajua! Ila kwenye mashule duh! Itakuwa ndio mfumo mpya kuwa na strong room za kutunzia mitihani.
kabisa sio bure tena mpuuzi na kwa hili inabidi ingawa siyo lazima mambo madogo kama haya kufika kwa kikwete, lakini inabidi aingilie kati tena kwa karibu sana kabla ya walimu kuanzisha mgomo kwa makosa ya serikali kam haya , namshauri mwalimu huyu asonge mbeleana lake jambo sheria ifwate mkondo wake
labda walitofautina kauli , aidha mwalimu alimkaripia OCD , may be alimwambia hayo mamitihani yenu rudi nayo mimi sina pa kuyaweka , aidha kamanda naye akakumbuka kazi yake ni gwaride na salute, kinyela mumo kikaanza , in short hata wangeudhiana vipi si vizuri kupigana au kumpiga mwenzio huku mkiwa kazini tena kazi ya serikali na nyote waajiriwa wake, kuna sehemu zake kuambiana na kushtakianamaelezo bado hayako sawa yaan huyo ocd aanze tu kumpiga mwalimu mkuu bila sababu? baada ya ilo tukio nn kiliendelea?
Katika hali isiyo ya kawaida, OCD wilaya ya Kondoa amempiga mateke, ngumi, vibao na kumchania shati mkuu wa shule wa shule ya sekori Kikore wilayani hapo.
Tukio hilo lilitokea jana 03/11/2013 ambapo kamati ya wilaya iilipopita shuleni hapo kusambaza mitihani ya kidato cha nne iliyoanza leo hii.OCD huyo alimuuliza mkuu wa shule "STRONG ROOM IKO WAPI?" mkuu wa shule akawaonesha chumba cha darasa ambacho hutumika kama ofisi ya mkuu wa shule na staff ya walimu,ndipo OCD alipoanza kutoa matusi ya nguoni akitaka kuoneshwa strong room nyingine, mkuu alipokosa majibu ndipo OCD alianza kumpatia kichapo kikali kilichosababisha majereha katika mwili wake.
Katika hali ya kushangaza wajumbe waliokua wameandamana na OCD huyo ambao ni AFISA ELIMU MSAIDIZI WA WILAYA, NA AFISA USALAMA WA WILAYA WALISHANGILIA TUKIO HILO JAMBO LILOMFANYA MKUU WA SHULE KUKOSA MSAADA.
Aidha shule ya sekondari ya Kikore ni moja ya shule za kata ambayo haina jengo la utawala na upungufu mkubwa wa miundombinu hivyo kumlazimu mkuu wa shule kuchukua chumba kimoja cha darasa na kukigawa upande mmoja kua ofisi yake na upande mwingine ofisi ya walimu wote.
POLE SANA MKUU WA SHULEPOLENI SANA WALIMU WA TANZANIA!
Kazi kweli kweli........jamani strong room ndo room gani
Ni kweli kwa walichofanya ni uvutaji bangi kabisa.Polisi wengi wavuta bangi na waonevu kwa raia.
vitu vingine ni uzembe tu wala havihitaji kutetewa...sasa huyo mwl mkuu yeye wakati anapigwa alikuwa kafungwa pingu? Kashindwa kujitetea? Inapoelekea walimu mtatiwa hata midole ya m*---- mbele ya wanafunzi na mtatulia tu