Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

Strong rum ipo ila hakuiandaa,palikuwa pachafu kabati imejaa karatasi(hiyo strong room inayosemwa ni kama kabati la chuma/sefu,ulikuwa ni uzembe wa mkuu huo wa shule kutoandaa sehemu ya o mithihani hiyo mbali ya kujua ujio wa ugeni huo,ila OCD naye alikosea kujichukulia majukumu ya kumpiga
 
Huyo OCD angejaribu kumpiga mkuu wa shule ya Jitegemee au Makongo kama yeye ni mwanaume kweli.
 
namshauri Mkuu wa shule akafungue jarada la uchunguzi kituo cha polisi wilaya ya Kondoa... ujinga huuuuuuuuuuuu the teh
 
Watu wa bank au wanao deal na kutunza fedha wanajua! Ila kwenye mashule duh! Itakuwa ndio mfumo mpya kuwa na strong room za kutunzia mitihani.

Zipo kitambo,ni kabati la Chuma lipo ofisi ya mkuu wa Shule
 
------- me ndo nimfundishe m2 aelewe wataelewa 2 jimsi watoto watakavyo ambulia dvision v
 
Watu wa bank au wanao deal na kutunza fedha wanajua! Ila kwenye mashule duh! Itakuwa ndio mfumo mpya kuwa na strong room za kutunzia mitihani.

hiyo ndo BIG RESULT za serikari ya magamba.... kuna strong rum kudadadeki
 
ana lake jambo sheria ifwate mkondo wake
kabisa sio bure tena mpuuzi na kwa hili inabidi ingawa siyo lazima mambo madogo kama haya kufika kwa kikwete, lakini inabidi aingilie kati tena kwa karibu sana kabla ya walimu kuanzisha mgomo kwa makosa ya serikali kam haya , namshauri mwalimu huyu asonge mbele
 
maelezo bado hayako sawa yaan huyo ocd aanze tu kumpiga mwalimu mkuu bila sababu? baada ya ilo tukio nn kiliendelea?
labda walitofautina kauli , aidha mwalimu alimkaripia OCD , may be alimwambia hayo mamitihani yenu rudi nayo mimi sina pa kuyaweka , aidha kamanda naye akakumbuka kazi yake ni gwaride na salute, kinyela mumo kikaanza , in short hata wangeudhiana vipi si vizuri kupigana au kumpiga mwenzio huku mkiwa kazini tena kazi ya serikali na nyote waajiriwa wake, kuna sehemu zake kuambiana na kushtakiana
 
Katika hali isiyo ya kawaida, OCD wilaya ya Kondoa amempiga mateke, ngumi, vibao na kumchania shati mkuu wa shule wa shule ya sekori Kikore wilayani hapo.

Tukio hilo lilitokea jana 03/11/2013 ambapo kamati ya wilaya iilipopita shuleni hapo kusambaza mitihani ya kidato cha nne iliyoanza leo hii.OCD huyo alimuuliza mkuu wa shule "STRONG ROOM IKO WAPI?" mkuu wa shule akawaonesha chumba cha darasa ambacho hutumika kama ofisi ya mkuu wa shule na staff ya walimu,ndipo OCD alipoanza kutoa matusi ya nguoni akitaka kuoneshwa strong room nyingine, mkuu alipokosa majibu ndipo OCD alianza kumpatia kichapo kikali kilichosababisha majereha katika mwili wake.

Katika hali ya kushangaza wajumbe waliokua wameandamana na OCD huyo ambao ni AFISA ELIMU MSAIDIZI WA WILAYA, NA AFISA USALAMA WA WILAYA WALISHANGILIA TUKIO HILO JAMBO LILOMFANYA MKUU WA SHULE KUKOSA MSAADA.

Aidha shule ya sekondari ya Kikore ni moja ya shule za kata ambayo haina jengo la utawala na upungufu mkubwa wa miundombinu hivyo kumlazimu mkuu wa shule kuchukua chumba kimoja cha darasa na kukigawa upande mmoja kua ofisi yake na upande mwingine ofisi ya walimu wote.

POLE SANA MKUU WA SHULEPOLENI SANA WALIMU WA TANZANIA!

Tafadhali mshauri mwalimu mkuu awahi PF3 ikiwezekana Dodoma Mjini kwa mabosi wa huyo OCD. Huo ni unevu wa kutisha. Pia chama cha walimu CWT wanatakiwa kulifikisha hilo kwenye ngazi stahiki. Pia kupitia TSC mwalimu huyu anaweza kusaidiwa.
 
Huu ni uonevu wa hali ya juu kwa Mwalimu hyu.
Shule mpaka kuwa kituo cha mitihani ya taifa maana yake imekwishakaguliwa na kuonekana itafaa.
Sasa hyu -------- kumwonuesha umwamba mtumishi mwenzie ni ujinga na uonevu hapa sheria ichukue mkondo wake.
Na wewe mwalimu wakati meingine ualimu sio wito usiwe na iman za Kinyerere hapa kwani nyerere alikufa na waalimu wake.
------ ------ kama huyo unampa jeb kati unamalizia na right unamzimisha tuuu!!!
Alafu ndio sheria ifuatie
WAALIMU TUSISUBIRI THAMANI YETU IPANDISHWE NA WASIO WAALIMU NI JUKUMU LETU KUTHAMINI TAALUMA YETU IWE NA THAMANI
 
This country bwana, OCD mtu mwenye uelewa wa mfumo wa haki anamshushia kipigo mwalimu, inakasirisha sana. Pole sana mwalimu. Mukoba na Ulochi mtafanya nini kuhusu hili?
 
Kazi kweli kweli........jamani strong room ndo room gani

ni chumba ambacho huteuliwa kwa ajili ya kutunzia xamz,kinapaswa kuwa na usalama zaid,na si vibaya ndani kukawa na lile kabat kama la benk,mara nyingi mitihan huwekwa humu,then funguo humilikiwa na polisi,
ni nadra sana kuipata shule za kata,so mkuu wa shule hakua na kosa,
jaman walim wenzangu muwe na tabia ya kujitetea,ala
 
Huyo Ocd ingekua mtwara wala asingekumbuka kuomba uhamisho angehabila uhamisho unalazwa nnje bilarodhaa na popobawajuu.
 
vitu vingine ni uzembe tu wala havihitaji kutetewa...sasa huyo mwl mkuu yeye wakati anapigwa alikuwa kafungwa pingu? Kashindwa kujitetea? Inapoelekea walimu mtatiwa hata midole ya m*---- mbele ya wanafunzi na mtatulia tu

aiseee akirudi nyumbani kwa mkewe sijui atasema aligongwa na gari au alipingwa na dume mwenzie
 
Tatizo la walimu hawana ujasiri wa kumwaga ugali wanapomwagiwa mboga. Inatakiwa mwanaume sikunyingingine ukubali liwalo na liwe heshima ijengeke. But mwl akiwa mjanja adai mamilion ya fidia kutoka serikalini kwa kudhalilishwa na kiongozi wa serikali. Uliza Dc Mnalì aliewatia bakora walimu kwa nia njema tu ila bila kutumia akili yuko wapi?
 
Back
Top Bottom