Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

Ukiwa CDM lazima ukubali kubakwa na serkali..! Kosa la huyu Mkuu wa shule ni kuwa Chadema. Nadhani wenzake wenye viherehere wanalo la kujifunza

Kifaru akiwa mjane ni kawaida kuwa na akili kama hizi
 
kwa niyaba ya Walimu wote Tanzania, tunasikitika sana kwa tukio hilo natuna laani vikali sana kutokana na kitendo hicho. Na kwa upande mwingine mwenyezi mungu Amlaani huyo AFISA ELIMU MSAIDIZI kwa kushangilia tukio hilo huku akifahamu kinachoendelea kuwa hapo shuleni hakuna/miundo mbinu ni michache lakini akashindwa kumsaidia mwalimu wake,naye akumbuke kuwa alikuwa mwalimu au kwa upande mwingine na yeye ni Mwalimu tu na hivyo malipo ni hapa hapa Duniani. Kilichotendeka ni kuidhalilisha Tasnia/Taaluma ya Ualimu. Pendekezo langu ni kwamba Jeshi la polii liwatake Radhi Waalimu na au kwa upande mwingine wahusika wa adhibiwe vikali ili iwe fundisho kwa Wengine. Chama Cha Walimu Fuatilieni hilo hatuwezi kukubali udhalilishaji huu.
 
asante nilikuwa sijui

Afadhali wewe ulipata ujasiri wa kuuliza. Mi nlihisi nikiuliza watanicheka watu. Jamaa asingekujibu ningeendelea kubaki na fikra kuwa afande alikuwa kazidiwa na kimba kwa hiyo alikuwa anaulizia strong room akashushe mzigo.

Msalimie Habby kwa niaba ya ODM.
 
Acha uongo wewe, huyu ameadabishwa ili awe mfano hai kwa watumishi wa uma wenye viherehere vya kuishabikia chadema. Kimsingi ametafutiwa case na kichapo amechezea. Kwa taarifa yako hakuna sheria inayompa ocd mamlaka ya kutembeza kichapo hadharani

Kwani ile ya Pinda haiapply hapa?
 
Afadhali wewe ulipata ujasiri wa kuuliza. Mi nlihisi nikiuliza watanicheka watu. Jamaa asingekujibu ningeendelea kubaki na fikra kuwa afande alikuwa kazidiwa na kimba kwa hiyo alikuwa anaulizia strong room akashushe mzigo.

Msalimie Habby kwa niaba ya ODM.

nilikumbuka kale ka usemi aulizaye sio mjinga ndo ni kaji brothersugarcane

Habby kakasirika sana.......
 
Pole Mwl Mkuu, huko vijijini watu wanajiona Miungu!! Huyo ashitakiwe, wasilete mambo ya Mwangosi!!
 
isije ikawa walipigana afu OCD akaibuka kinara?
 
Walimu siku zote wako nafasi nzuri ya kuwa na nidhamu, na ndivyo wanavyofundishwa ili kwa nidhamu hiyo wawalee na kuwakuza vyema watoto wetu. Asingeweza kujibu mapigo kama ambavyo wewe ungefanya. Pengine angejibu ungesikia kapigwa risasi maana OCD bila shaka alikuwa na bastola kiunoni, na habari ingekuwa "Mwalimu apigwa risasi alipomshambulia OCD" na hadithi nyingine nyingi za kumchafua. Nadhani hapo tuangalie uhalali wa OCD kumpiga eti kwa kosa la kutoonyesha Strong Room ambayo HAIPO na sio mwalimu Mkuu aliyepaswa kuijenga ni Serikali ya Halmashauri yake iliyotakiwa kuweka mambo yote muhimu katika shule hiyo. Sasa OCD anapomshambulia Mwalimu kumjeruhi na hadi kumchania nguo, kweli huo sio Unyanyasaji????? POLE SANA MWALIMU, POLENI SANA WALIMU WOTE. Imenikumbusha machungu ya Mwalimu aliyechapwa bakora mbele ya wanafunzi wake na Mkuu wa Wilaya maeneo ya Kagera.
 
Hivi kukosekana strong room na jingo la utawala la shule hiyo ni uzembe wa mwalimu Mkuu?????? Unashangaza wengi kwa utovu wako wa uelewa ndugu yangu Ibrahim, sasa hongo ya ngono inahusiana vipi na ukosefu wa strong room????
 
Strong room shuleni? imekuwa bank chumba cha kuhifadhia hela au polisi chumba cha kuifadhia silaha? Huyo ocd na baazazi tu, afisa elimu mwl wako anapigwa unaangalia tu wakati shule zako zoote hapo wilayani unajua zilivyo, shame on you

kajiaibisha huyo OCD jamani.........
 
Hivi haya mambo ya watu wazima kupigana bado yapo?
 
mimi nasomea ualim na niimepita jkt subiri niajiriwe alafu kenge ajitokeze aone moto kwanini upigwe kizembe hivyo./
 
Tunavumilia kuwa watanzania na tunajivunia kuwa na moyo wa kuvumilia.Pole sana mwalimu wangu,ila ipo siku.
 
katka hli siji soma ualimu wala kumshauri ndgu yangu asome ualimu kamwe..........
s'sa mwl. bosi wake nani.....???
mazingra ya kaz magumu.....mshahara mdogo....vipgo mtu yeyote anakupatia......


umoja wa walimu wakuu....tahos.. nin cjui msikubal ktk hli.....some1 must go down teachers
next tym watawatia hadi vidole vya puani sasa namna hii...............
daah kwl ualimu wa vjijn ni umaskin aiseee..........
big up kwa wafundsha tushn maarufu jijn............

...
 
Back
Top Bottom