Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

Unataka kujua chanzo cha pesa ili mkafukie? Umenoa. This is a petty to discuss. Pesa ni watu.
 
ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Hapo nakuona unavyougulia. Eti unacheka, unacheka huku unaumia? Wadanganye wanawake wenzako huko mnakopigia umbea. Mmeona Nyalandu amepigwa spana ndio mnalia? Mmeshashtukiwa, tulieni tu. Pesa za kampeni haziwahusu.
 
Nyalandu was best, Ana hela na Exposure kubwa hata connection Zake huko duniani zinatisha sana Na hizo zote alizipata wakati akiwa waziri wa maliasili, Jamaa ni Predidential material ila kwa vile mmeamua kwenda na TAL basi JPM asubuhi sana anachukua nchi, Msitegemee mwenyekiti wa Saccos aingie mfukoni ku fund kampeni za chama mzigo utarudi kwa wanachama na hao wabunge
Wazo langu kwa sasa Chadema waanze kuchonga mabakuli ya kuombea tu pesa ili waweze ku afford walau kuzunguka mikoa michache.
 

Mkt mwenyewe mjanjamnja pale jangwani 2015 drone camera za AZAM TV alikuwa anajisifia eti mambo ya cdm hayo na huku mazuzu na majuha yakimshangilia.
 
Kwahiyo wewe kinachokusumbua nini ikiwa pesa hawana?

Hofu imetanda kwenye viwanja vya lumumba.

Kila kauli mtaisema mwaka huu.

Mara ohh hawezi kurudi, akirudi na kufika uwanjani atapelekwa lupango, mara hakuna mapokezi yoyote aliyopata, mara ohhh anachechemea, mara ohh msaliti wa nchi lakini ushahidi hamna, mara ohh hachaguliwi kugombea Urais, mara ohh pesa hawana.

Hivi kinachokusumbua nini huko chadema?

Wallah muwanafiki na kazi yenu ni rushwa tu huko lumumba.
 
Tutachanga wapenda mabadiliko
 
Hedikopta ndo Helicopter??
 
Walewale waliotoa kuwalipia faini, ndio hao hao ( na zaidi )watakaolipia gharama zao za kugombea.

Amandla...
 

Naona unatamani iwe hivyo, hela za kampeni tutachanga, ccm ndio huwa wanahitaji hela nyingi maana hawakubaliki na watu, hivyo hujikuta wanahitaji pesa nyingi kwa ajili ya kutoa rushwa. Kama unakubalika na watu, unahitaji pesa kidogo tu kwenye kampeni. Mimi, mke wangu na watu wangu wa karibu tutachanga hela za kampeni. Pia wakati wa upigaji kura, tutajitolea kuwa mawakala bila kuhitaji hata shilingi moja ili kusimamia kura za cdm.
 
Kwani wananchi wanahitaji kuuza kura yao kwa pesa kwa mtu wanaemhitaji?
 
Kwani chama chetu pendwa pesa kinatoa wapi, maana sijawahi kuwaona wanafanya hata biashara ya ubuyu...au ni wazee wa makaratee.
 
Kwa Lissu nitachanga hata nilalie wali kuku sijali
 
Hiyo kazi ya kununua front page waachie ccm, lisu ni mtu wa kuwaprove wrong nyinyi mbogamboga

Kila kizingingiti yeye anapasua tu
 
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
hayakuhusu we za kampeni si unazo furahi basi si utashinda mbonaunasikitika au//////////
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…