Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kujua chanzo cha pesa ili mkafukie? Umenoa. This is a petty to discuss. Pesa ni watu.Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
FINCANa Yule anaemiozesha mama kwa mahari ya jogoo anapata wapi mkopo nafuu?
Hapo nakuona unavyougulia. Eti unacheka, unacheka huku unaumia? Wadanganye wanawake wenzako huko mnakopigia umbea. Mmeona Nyalandu amepigwa spana ndio mnalia? Mmeshashtukiwa, tulieni tu. Pesa za kampeni haziwahusu.ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Ulikuwa ukichanga nini wewe una pesa?
Walikuwa wakichanga pesa za kueleweka akina mzee marehemu Ndesamburo,Wafadhili wa nje wa Dr Slaa ,akina Lowasa ambao hawapo tena .Zile helikopeta mliziona zikikata mawimbi hewani zilikuwa hazirushwi kwa pesa kuchanga za Tigo rusha!!!
Kwahiyo wewe kinachokusumbua nini ikiwa pesa hawana?Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya uraisi. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya Chadema. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari,kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili Chadema.
Tutachanga wapenda mabadilikoMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Hedikopta ndo Helicopter??Wanachama wa cdm ni wazungusha mikono na kushikiwa akili siku zote. Walikuwa wananaibiwa kwa kuchangishwa fedha za mafuta ya hedikopta, baadaye ikaja hiyo ya kupitia tigo. Wabunge tukawasikia juzi kati hapa wakilalamikia kukatwa mishahara yao kwa kushurutishwa na lazima. Hakuna hata mwenye kuthubutu kuomba kupewa maelezo ya jinsi fedha hizi zinatumika.
Mkt atakuja na mradi wake wa Fuso chakafu. Makumu mwenyekiti na bajeti yake ya kusimamia kesi mbalimbali za wanachama. Wajinga ndio wali wao huliwa kama ubwabwa.
Walewale waliotoa kuwalipia faini, ndio hao hao ( na zaidi )watakaolipia gharama zao za kugombea.Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Lumumba ufalme nguvu na utukufu ni vya kwao kwa sasa.Alafu chadema huwa hawanunui waandishi wa habari na front pages kama wanalumumba.
Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Kwa Lissu nitachanga hata nilalie wali kuku sijaliNaona unatamani iwe hivyo, hela za kampeni tutachanga, ccm ndio huwa wanahitaji hela nyingi maana hawakubaliki na watu, hivyo hujikuta wanahitaji pesa nyingi kwa ajili ya kutoa rushwa. Kama unakubalika na watu, unahitaji pesa kidogo tu kwenye kampeni. Mimi, mke wangu na watu wangu wa karibu tutachanga hela za kampeni. Pia wakati wa upigaji kura, tutajitolea kuwa mawakala bila kuhitaji hata shilingi moja ili kusimamia kura za cdm.
Hiyo kazi ya kununua front page waachie ccm, lisu ni mtu wa kuwaprove wrong nyinyi mbogambogaMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
hayakuhusu we za kampeni si unazo furahi basi si utashinda mbonaunasikitikaKampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?