Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mahakama zipo, kwanini wasichukuliwe hatua kwa sheria halali? Mnataka kujifungia ndani ili mpambane na kundi lisilomnyenyekea mwenyekiti kwa kigezo cha wanamtandao? Rais huyu ndio anaongoza kwa kunajisi box la kura, usafi wake ni upi? Au nyie wapambe wake aliowapa maisha ndio mnajifanya mnawajua wanamtandao?
Atakutoa weweElewa Tundu Lissu amezunguka nchi nyingi za ulaya. Huko alikuwa akienda kupiga kopo la msaada kwa ahadi ya kuwalipa akipata U-JPM. La kujiuliza ni kwamba atawalipa nini baada ya kupata urais?
HAUJUI UTARATIBU WETU?..TUNASUBIRI WATANGAZE AKAUNTI TUTACHANGIAMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Hao wanamtandao wako kisheria? Wewe unafikiri kila mtu fedha ndio kigezo, fedha ni matokeo tu. Hapa kinachoangaliwa ni maslahi mapana ya watu na maisha yao. Unajiuliza kwa nini niwe nimeyajua haya? Hivyo lazima ni fanye kitu.
Sielewi hata unaongea kitu gani, huenda una point lakini unakosa maneno sahihi ya kuyawakilisha. Nimekuambia hao wanamtandao kama ni watu wabaya wachukuliwe hatua kisheria, na sio kutuambia ni wanamtandao kwa vigezo vya mwenyekiti na genge lake.
..BABU SEYA anafadhili kampeni za CCM ndiyo maana akapewa HESHIMA ya kualikwa IKULU.
Wewe unashangaza kerli, katika maelfu ya wafungwa walio samehewa umemuona Babu seya tu!!. Au kwa vile ni mwana muziki na alifika ikulu.
..katika hao maelfu ni wangapi walialikwa IKULU?
..au kwasababu mnaunga mkono ulawiti na ushoga ndiyo maana mkamualika IKULU?
Hata mimi sikuelewi, nimekuuliza wanamtandao wako kisheria? Rais wa Tanzania anapatika kisheria kupitia wanamtandao? Tunakataa babeberu nje ya nchi wasi ingilie mambo ya ndani ya nchi yetu wala kutupangia nani atutawale. Ila babeberu wa ndani ya nchi tuwanyamazie. Babeberu wa ndani ya nchi ndio hao wanamtandao. Babeberu wa nje ya nchi huwa wanashughulikiwa vipi?
Huo ulawiti na ushoga ndio ule wimbo wao wa salima?
..Babu Seya na Papii walipatikana na hatia ya kulawiti watoto wadogo wa shule.
..walipitia ngazi zote za kimahakama hapa nchini mpaka mahakama ya rufaa na kote huko walikutwa na hatia.
..sasa Jpm akiwa hana sababu yoyote ile ya msingi akaamua kuwapa msamaha wa Raisi.
..Tena akatangaza msamaha huo ktk sherehe za UHURU wa Tanganyika.
..baadae Babu Seya na Papii wakaalikwa IKULU na wakapigwa picha wakiwa na Raisi na picha hizo zikasambazwa ktk vyombo vya habari.
..zaidi Babu Seya na Papii wakapokelewa wizara ya utamaduni na serikali ikaahidi kuwasaidia ktk shughuli zao za muziki.
..sasa hebu jiulize kama kweli serikali hii na chama tawala wanapinga kwa dhati tabia chafu za ushoga na ulawiti.
Wewe na rudia ni waajabu wako walio uwa wamesamehewa utasema serkali hii inaunga mkono wauaji?
Umeona CHADEMA digital wanachama 6m wakitoa @2500 Ada halo inakuwa ngapi bado harambe bado wanachama wakaongeza na ada ya 2021Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
mkuu why wakose pesa hilo sahau , but pamoja mchango wako mkubwa samahani naomba jambo moja kupitia uzi wko japo lipo nje ya mada yako mkuuMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Je Dkt.Lissu anakubalika??Tuanzie hapoMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
..yako mazingira ambayo unaweza kumuachia a VIOLENT CRIMINAL.
..kwa mfano, aliyeua unaweza kumuachia akiwa na umri mkubwa na akiwa ktk hali ambayo hawezi kurudia makosa yake.
..pia ni lazima uhakikishe kwamba wale victims wake au jamii haitaona kwamba amefanyiwa hisani na hajatumikia adhabu yake vya kutosha.
..la mwisho, ni lazima uhakikishe kwamba jamii haipati ujumbe mbaya kwamba mkosaji anapewa heshima na hadhi baada ya kuachiwa.
..sasa Babu Seya na Papii wameachiwa wakati vigezo vyote nilivyokutajia havijazingatiwa. kwa mfano, amekaribishwa IKULU utadhani ni shujaa.
..Mbwana Samatta alishinda tuzo ya soka ya Afrika hatukumuona akikaribishwa Ikulu, lakini Babu Seya na Papii wamekaribishwa.
..Nadhani utakuwa umenipata.
cc tindo
Sijakupata tuambie mchakato unaopitiwa mpaka mtu kusamehewa? Twende mdogo mdogo. Seya na Papii walitamani na waliomba kwenda kushukuru. Pia wadau wengi na wapenzi wa muziki walionesha kama hawakutendewa haki, hili unalijua?