Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

Mahakama zipo, kwanini wasichukuliwe hatua kwa sheria halali? Mnataka kujifungia ndani ili mpambane na kundi lisilomnyenyekea mwenyekiti kwa kigezo cha wanamtandao? Rais huyu ndio anaongoza kwa kunajisi box la kura, usafi wake ni upi? Au nyie wapambe wake aliowapa maisha ndio mnajifanya mnawajua wanamtandao?

Hao wanamtandao wako kisheria? Wewe unafikiri kila mtu fedha ndio kigezo, fedha ni matokeo tu. Hapa kinachoangaliwa ni maslahi mapana ya watu na maisha yao. Unajiuliza kwa nini niwe nimeyajua haya? Hivyo lazima ni fanye kitu.
 
Kigogo yupo atawapitishia bakuri twitter la kampeni
 
Mkuu
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.

Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.

Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.

Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
HAUJUI UTARATIBU WETU?..TUNASUBIRI WATANGAZE AKAUNTI TUTACHANGIA
 
Hao wanamtandao wako kisheria? Wewe unafikiri kila mtu fedha ndio kigezo, fedha ni matokeo tu. Hapa kinachoangaliwa ni maslahi mapana ya watu na maisha yao. Unajiuliza kwa nini niwe nimeyajua haya? Hivyo lazima ni fanye kitu.

Sielewi hata unaongea kitu gani, huenda una point lakini unakosa maneno sahihi ya kuyawakilisha. Nimekuambia hao wanamtandao kama ni watu wabaya wachukuliwe hatua kisheria, na sio kutuambia ni wanamtandao kwa vigezo vya mwenyekiti na genge lake.
 
Hata mimi sikuelewi, nimekuuliza wanamtandao wako kisheria? Rais wa Tanzania anapatika kisheria kupitia wanamtandao? Tunakataa babeberu nje ya nchi wasi ingilie mambo ya ndani ya nchi yetu wala kutupangia nani atutawale. Ila babeberu wa ndani ya nchi tuwanyamazie. Babeberu wa ndani ya nchi ndio hao wanamtandao. Babeberu wa nje ya nchi huwa wanashughulikiwa vipi?
 
..BABU SEYA anafadhili kampeni za CCM ndiyo maana akapewa HESHIMA ya kualikwa IKULU.

Wewe unashangaza kweli, katika maelfu ya wafungwa walio samehewa umemuona Babu seya tu!!. Au kwa vile ni mwana muziki na alifika ikulu.
 
Wewe unashangaza kerli, katika maelfu ya wafungwa walio samehewa umemuona Babu seya tu!!. Au kwa vile ni mwana muziki na alifika ikulu.

..katika hao maelfu ni wangapi walialikwa IKULU?

..au kwasababu mnaunga mkono ulawiti na ushoga ndiyo maana mkamualika IKULU?
 
Hata mimi sikuelewi, nimekuuliza wanamtandao wako kisheria? Rais wa Tanzania anapatika kisheria kupitia wanamtandao? Tunakataa babeberu nje ya nchi wasi ingilie mambo ya ndani ya nchi yetu wala kutupangia nani atutawale. Ila babeberu wa ndani ya nchi tuwanyamazie. Babeberu wa ndani ya nchi ndio hao wanamtandao. Babeberu wa nje ya nchi huwa wanashughulikiwa vipi?

Sielewi hata wanamtandao wanafahamikaje, na sio genge la mwenyekiti na wapambe wake ndani ya chama, wao ndio wawe na definition ya wanamtandao. Kwa maneno marahisi upo kimajungu zaidi, ndio maana huna uwezo wowote wa kujieleza. Hali hii inapelekea ww kuongea kila linalokujia kichwani bila mtiririko wowote wa maana, mara sijui mabeberu, sijui wanamtandao. Hebu kaa kwa kutulia tafadhali maana huna jipya.
 
Huo ulawiti na ushoga ndio ule wimbo wao wa salima?

..Babu Seya na Papii walipatikana na hatia ya kulawiti watoto wadogo wa shule.

..walipitia ngazi zote za kimahakama hapa nchini mpaka mahakama ya rufaa na kote huko walikutwa na hatia.

..sasa Jpm akiwa hana sababu yoyote ile ya msingi akaamua kuwapa msamaha wa Raisi.

..Tena akatangaza msamaha huo ktk sherehe za UHURU wa Tanganyika.

..baadae Babu Seya na Papii wakaalikwa IKULU na wakapigwa picha wakiwa na Raisi na picha hizo zikasambazwa ktk vyombo vya habari.

..zaidi Babu Seya na Papii wakapokelewa wizara ya utamaduni na serikali ikaahidi kuwasaidia ktk shughuli zao za muziki.

..sasa hebu jiulize kama kweli serikali hii na chama tawala wanapinga kwa dhati tabia chafu za ushoga na ulawiti.
 
Wewe na rudia ni waajabu wako walio uwa wamesamehewa utasema serikali hii inaunga mkono wauaji?
 
Wewe na rudia ni waajabu wako walio uwa wamesamehewa utasema serkali hii inaunga mkono wauaji?

..yako mazingira ambayo unaweza kumuachia a VIOLENT CRIMINAL.

..kwa mfano, aliyeua unaweza kumuachia akiwa na umri mkubwa na akiwa ktk hali ambayo hawezi kurudia makosa yake.

..pia ni lazima uhakikishe kwamba wale victims wake au jamii haitaona kwamba amefanyiwa hisani na hajatumikia adhabu yake vya kutosha.

..la mwisho, ni lazima uhakikishe kwamba jamii haipati ujumbe mbaya kwamba mkosaji anapewa heshima na hadhi baada ya kuachiwa.

..sasa Babu Seya na Papii wameachiwa wakati vigezo vyote nilivyokutajia havijazingatiwa. kwa mfano, amekaribishwa IKULU utadhani ni shujaa.

..Mbwana Samatta alishinda tuzo ya soka ya Afrika hatukumuona akikaribishwa Ikulu, lakini Babu Seya na Papii wamekaribishwa.

..Nadhani utakuwa umenipata.

cc tindo
 
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.

Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.

Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.

Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Umeona CHADEMA digital wanachama 6m wakitoa @2500 Ada halo inakuwa ngapi bado harambe bado wanachama wakaongeza na ada ya 2021
 
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.

Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.

Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.

Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
mkuu why wakose pesa hilo sahau , but pamoja mchango wako mkubwa samahani naomba jambo moja kupitia uzi wko japo lipo nje ya mada yako mkuu
CHADEMA TAFADHALI TUNAOMBA HOTUBA KAMILI YA LISSU KWENYE MKUTANO MKUU HAPA KWENYE MITANDAO KWA WALIO KUWA WANARUSHA LIVE ILIKUA INAGOMA SANA HATUJAFAIDI
 
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.

Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.

Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.

Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Je Dkt.Lissu anakubalika??Tuanzie hapo
 
..yako mazingira ambayo unaweza kumuachia a VIOLENT CRIMINAL.

..kwa mfano, aliyeua unaweza kumuachia akiwa na umri mkubwa na akiwa ktk hali ambayo hawezi kurudia makosa yake.

..pia ni lazima uhakikishe kwamba wale victims wake au jamii haitaona kwamba amefanyiwa hisani na hajatumikia adhabu yake vya kutosha.

..la mwisho, ni lazima uhakikishe kwamba jamii haipati ujumbe mbaya kwamba mkosaji anapewa heshima na hadhi baada ya kuachiwa.

..sasa Babu Seya na Papii wameachiwa wakati vigezo vyote nilivyokutajia havijazingatiwa. kwa mfano, amekaribishwa IKULU utadhani ni shujaa.

..Mbwana Samatta alishinda tuzo ya soka ya Afrika hatukumuona akikaribishwa Ikulu, lakini Babu Seya na Papii wamekaribishwa.

..Nadhani utakuwa umenipata.

cc tindo

Sijakupata tuambie mchakato unaopitiwa mpaka mtu kusamehewa? Twende mdogo mdogo. Seya na Papii walitamani na waliomba kwenda kushukuru. Pia wadau wengi na wapenzi wa muziki walionesha kama hawakutendewa haki, hili unalijua?
 
..nimesema VIOLENT CRIMINALS kama Babu Seya na Papii hawataki kuachiwa wakiwa na nguvu zao na kuwa na uwezekano wa kudhuru wengine.

..pia hawatakiwa kupewa heshima ya aina yoyote ile na kutoa picha kwamba mamlaka zinawaunga mkono.

..ndiyo maana nitaendelea kulaani kitendo cha wao kupewa heshima ya kupokelewa IKULU, au kupokelewa na Naibu Waziri wa Utamaduni.

..mwisho, kuna watu wengi sana wanatamani kwenda IKULU kwa sababu hii au ile. What was so special kwa Babu Seya na Papii kupewa nafasi hiyo? Sisi ni taif la ajabu KUJIVUNIA pedophiles kualikwa Ikulu.
 
Back
Top Bottom