Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mahakama zipo, kwanini wasichukuliwe hatua kwa sheria halali? Mnataka kujifungia ndani ili mpambane na kundi lisilomnyenyekea mwenyekiti kwa kigezo cha wanamtandao? Rais huyu ndio anaongoza kwa kunajisi box la kura, usafi wake ni upi? Au nyie wapambe wake aliowapa maisha ndio mnajifanya mnawajua wanamtandao?
Hao wanamtandao wako kisheria? Wewe unafikiri kila mtu fedha ndio kigezo, fedha ni matokeo tu. Hapa kinachoangaliwa ni maslahi mapana ya watu na maisha yao. Unajiuliza kwa nini niwe nimeyajua haya? Hivyo lazima ni fanye kitu.