Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 623
- 647
Mandingo ndo nani?cc,mandingo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mandingo ndo nani?cc,mandingo
Mungu hachelewagi wala hawai ila daima huwa yuko ndani yamuda muafaka, siku moja kwake ni sawa na miaka elfu, kadhalika miaka elfu kwake ni sawa na siku moja.Huogopi? mbona naskia hela wanazolipwa sio nyingi aisee ungekua ndg yangu nisingekushauli kwenda kwanini usikomae tu apa apa Mungu atasikia kilio chako anachelewa kukujibu lkn ipo siku yako tu utafanikiwa
Wasingehangaika ni mimi kaka.Hauna kibamia lakin?
Pole ya nini Mkuu? hapa natafuta kuona mitazamo zaidi, daima suala la kufanya maamuzi ni juu yangu mwenyewe.Kila mtu si ana kichwa? lakini sii mbaya nikachanganya na za wengine ingawa sina mpango wa kubadili mawazo.Ila kwa jinsi unavoshauriwa na vile unareply ni dhahiri kabisa kuwa tayari ushafanya maamuzi na hapa unataka kuambiwa kile unachopenda kusikia, pole sana.
Mungu kakupangia hii kazi?!Mkuu malipo yanategemeana na kampuni. Hawa jamaa wana mshiko mzuri hasa baada ya kuondoa kodi.Hapa bongo nimehaso mno.Pengine hii ndo njia Muumba aliyoniandalia kutokea.Kumbuka hata kwenye vitabu watu wengi walipitia hizi njia kwahiyo mimi siyo wa kwanza.
Mungu kakupangia hii kazi?!Mkuu malipo yanategemeana na kampuni. Hawa jamaa wana mshiko mzuri hasa baada ya kuondoa kodi.Hapa bongo nimehaso mno.Pengine hii ndo njia Muumba aliyoniandalia kutokea.Kumbuka hata kwenye vitabu watu wengi walipitia hizi njia kwahiyo mimi siyo wa kwanza.
Mitazamo mingi uloiona hadi sasa uzito unalalia wapi?!Pole ya nini Mkuu? hapa natafuta kuona mitazamo zaidi, daima suala la kufanya maamuzi ni juu yangu mwenyewe.Kila mtu si ana kichwa? lakini sii mbaya nikachanganya na za wengine ingawa sina mpango wa kubadili mawazo.
Maswali mengine siyo yangu.Mungu kakupangia hii kazi?!
Mungu kakupangia hii kazi?!
Upande wenye faida.Mitazamo mingi uloiona hadi sasa uzito unalalia wapi?!
Nawaza kwa sauti na kucheka kimoyomoyo, ila binafsi nakushauri ujaribu kwingine siyo hukoUpande wenye faida.
Sii kila mtu anashiba na kucheka Mkuu.Nawaza kwa sauti na kucheka kimoyomoyo, ila binafsi nakushauri ujaribu kwingine siyo huko
Huogopi? mbona naskia hela wanazolipwa sio nyingi aisee ungekua ndg yangu nisingekushauli kwenda kwanini usikomae tu apa apa Mungu atasikia kilio chako anachelewa kukujibu lkn ipo siku yako tu utafanikiwa
huyu tumuache tu kwanza hata ukimshauri hawezi kukubali kwasababu amesha amua tayariMuache aende!!.
Kula mbunye za kulipwa
kuliko huende ukajishushe hathi yako bora uendelee kubeba zegeMkuu haya maisha na moto wa kuzimu huenda vikawa droo, Ila nafanya haya yote ili nipate namna ya kuishi.
labda ya maombi ili mungu akufungue kutoka kwenye huo ujingaNipe link namimi nijaze izo fomu