Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Huogopi? mbona naskia hela wanazolipwa sio nyingi aisee ungekua ndg yangu nisingekushauli kwenda kwanini usikomae tu apa apa Mungu atasikia kilio chako anachelewa kukujibu lkn ipo siku yako tu utafanikiwa
Mungu hachelewagi wala hawai ila daima huwa yuko ndani yamuda muafaka, siku moja kwake ni sawa na miaka elfu, kadhalika miaka elfu kwake ni sawa na siku moja.
 
Ila kwa jinsi unavoshauriwa na vile unareply ni dhahiri kabisa kuwa tayari ushafanya maamuzi na hapa unataka kuambiwa kile unachopenda kusikia, pole sana.
Pole ya nini Mkuu? hapa natafuta kuona mitazamo zaidi, daima suala la kufanya maamuzi ni juu yangu mwenyewe.Kila mtu si ana kichwa? lakini sii mbaya nikachanganya na za wengine ingawa sina mpango wa kubadili mawazo.
 
Mkuu malipo yanategemeana na kampuni. Hawa jamaa wana mshiko mzuri hasa baada ya kuondoa kodi.Hapa bongo nimehaso mno.Pengine hii ndo njia Muumba aliyoniandalia kutokea.Kumbuka hata kwenye vitabu watu wengi walipitia hizi njia kwahiyo mimi siyo wa kwanza.
Mungu kakupangia hii kazi?!

Mitazamo mingi uloiona hadi sasa uzito unalalia wapi?!
 
Ushauri gani unataka ww imeiomba hiyo ajira na unaonekana unaipenda we nenda tu, sema mungu anakuona
 
Embu tuma picha yako mkuu tukuone, ili tukujue utupe na hiyo link kabisa ukishafanikiwa
 
Huogopi? mbona naskia hela wanazolipwa sio nyingi aisee ungekua ndg yangu nisingekushauli kwenda kwanini usikomae tu apa apa Mungu atasikia kilio chako anachelewa kukujibu lkn ipo siku yako tu utafanikiwa
Muache aende!!.
Kula mbunye za kulipwa
huyu tumuache tu kwanza hata ukimshauri hawezi kukubali kwasababu amesha amua tayari
 
mi nasubiri nikuone kwenye mashindano ya olympic ukiiwakilisha nchi
 
Back
Top Bottom