Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Ukiangalia kwa kawaida TRA wana vijana wa internship yapata miaka miwili wanafanya nao kazi kuliko kufanya mitihani waajiriqe hawa vijana maana hii ni kupoteza muda wa mtu ambao hauna mantiki
pia kuna vijana wamesomeshwa vyuo na wazazi wao walikosa interniship na wao wanataka nafasi hizohizo
 
kama kichwani upo vizuri mtihani uvuje usivuje utafaulu tu manake majibu ni yale yale acha kulalamika kama ukiwa kilaza hata ukipewa pepa kama majibu huyajui huwezi faulu
Hivi kweli watanzania huwa tunatafakari kweli? Wewe unaona kabisa mtu anayeupata mtihani kabla ya kufanya yuko level moja na anayeingia kwenye chumba cha mtihani bila kuuona? Unaona kabisa ushauri uliotoa ni sahihi? Badala ya kudadisi kama shutuma zina ukweli na kama zina ukweli hatua gani zichukuliwe wewe unasema hakuna shida?
 
Ahaaa kumbe ndo nyinyi mlikuwa kwenye costa, goma linarudiwa vilaza anzeni kujitafuta....
 

Tulia mnyolewe,jiandanaeni kwa mtihani mpya.
 
Ma genius wa JF wanakwambia Kama Ni bahati yako utapata tu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mkuu kweli hii nchi ina matatizo makubwa mno. Nimesoma comments za watu huku nibaki nimechoka kama nimelima shamba la ekari tano bila kupumzika! Kuna mwingine kasema kama kichwani uko vizuri haina shida hata kama mwenzako atapata mtihani kabla! Tulikosema wapi tuna viumbe wenye ufinyu wa fikra namna hii? Ni elimu au ukosefu wa chakula unasababisha nchi kuwa na ma-genius namna hii?
 
Hapo ndipo utajua wengine chuo walienda kukamilisha taratibu tu mzee hahah
Hii nchi kama baba yako alikuwa mzembe miaka hio ya 70 hakusoma akashika nafasi nzuri serikalini au akafanya mabiashara na kujiwekeza sana ujue inakula kwako mazima as a child!

The Struggle is fuckkin real,kitaa kinasulubu kiroho mbaya!
 
Watu wangekuwa kazi wanazinunua kwa madau makubwa πŸ˜…! Unataka kazi yenye Net pay nzuri HR unapigwa 5M tu unakaa kwa kutulia wakikupa watu 10 tu umemaliza nyumba yako kule Kigamboni!
 
Hii nchi kama baba yako alikuwa mzembe miaka hio ya 70 hakusoma akashika nafasi nzuri serikalini au akafanya mabiashara na kujiwekeza sana ujue inakula kwako mazima as a child!

The Struggle is fuckkin real,kitaa kinasulubu kiroho mbaya!

Hahahah mtu ashikula msoto wa maana mtaani ndio ataelewa hicho ulichokisema.

Dogo nilimpa 230,000 kwenda huko Dom(nauli+kulala) mwingine ni ndg yetu aliniomba support nae aende huko kwny hio interview nikampa 100,000 jumla 330,000 hio.Hio interview hata ikirudiwa sitoi hata senti 1.Watakula walikopeleka mboga.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dah
 

Hahahahah hio hela bora umpe shemeji akanunue misosi ajaze frijini na stoo tu au ununulie umeme tu ukae kwenye luku kuliko kuitupa laki 3 ndani ya siku
Hahahahah hio hela bora umpe shemeji akanunue misosi ajaze frijini na stoo tu au ununulie umeme tu ukae kwenye luku kuliko kuitupa laki 3 ndani ya siku chache!

Acha tu kaka tunaona jinsi mifumo ambavyo iko rafiki na watu wa kwenye system tu! Yani ukiwa nje ya circle ya CCM Moguls au High profile Civil Servants ujue umekwisha! Utateseka mpaka ufe ukisaka ajira eti 🀣🀣🀣🀣
 

Tuna tatizo la mmomonyoko wa maadili tangu kwny ngazi za familia mpk ngazi juu taifani mkuu ndio maana tuko radhi kupata nafasi/mali kwa namna yoyote ile hata ikiwa ni by illegal means na familia/jamii zetu zitatupongeza kwa mafanikio tunayoyapata.

Elimu yetu haitusaidii kitu mkuu,
 
Haijaisha hiooo ndio maana pepa itarudiwa.,madogo wakae vzr.
Waache wafanye pepa wa kuajiriwa tiyari wapo, wao wanasindikiza due diligence.
Hizo nafasi walishateuliwa.

Bongo wacha kabisaaaaaa.πŸ˜‚πŸ˜‚

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Watakuwa wamesha temper na huo mfumo kwa sasa hali ya kuwa bwana mkali alishafariki πŸ˜…
 
Hizi rafu ndio ambazo zilifanya watu wawe wanamchukia hayati Mr.chattle Guy! Jamaa alipambana kila kitu kifanywe na mfumo ikawa inawazuia watu kufanya uhuni wao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ so here we go back once again watanzania wamezoa maisha ya ujanja ujanja! Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…