Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Ile tume ni ya Kilaghai tu hamna kitu pale...
 
Upumbavu mtupu,watu wanaenda kua wafanyakazi wa TRA kwa kupitia pepa zilizovuja then wakiingia makazini wakawa hawana maadili mnaanza kulia Lia wkt watu hata kazi hio waliipata kishenzi.
Mkuu wa kupuliza, hata kama hako ka mtihani kamevuja mtu akakaona hakana madhara yoyote. Elimu mtu anaipata chuo Man na ukumbuke kuna kusahau. Nina uhakika hata wewe hapo ulipo nikikuuliza maswali ya ulichosomea chuo kuna vitu hujui kabisa yani umesahau na kuna vitu unakumbuka kidogo. Hata ma daktari pia husahau ndio maana ukienda Hosp unawakuta na ma vitabu wanapitia vitu walivosoma chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mzee, inaonekana wewe ni mmojawapo uliyepata kwa hiyo hutak issue iharibe ili utoboe!
Boss, mimi nina kijikazi tayari ila hoja yangu ni kwamba kuna uwezekano umefaulu alafu utajiharibia hapa kwa huu uzi. Tulisoma na watu wanaingia exam room na majibu ila ambao hatuna kitu tunafaulu kuwapita sasa wewe ndio usumbuliwe na ka paper kalikovuja ambako mtu amesomea nje huko
Mkuu hoja yangu ni kwamba, jiamini tu mkuu huenda umefaulu. Hao walio solve paper wasikuogopeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyo aliyekataliwa kituo cha kazi siyo fair kabisa angewachukulia hatua zaidi hao. πŸ€” kwani si huwa wapewa barua za kureport?
 
Mkuu wewe kama ni kichwa huwezi kuhangaika na wezi wa mtihani.....maana vilaza wengi hata akifanya open book test hawezi kutoboa...
 
Niseme zilivuja pepa zotee za custom na TMO,ukwel huu ni uhuni mkubwa,Utumishi kwa hili mnalipi la kujitetea?

Mnavunja watu moyo sana hii ni dalili mbaya sana ,uhuni fedhea?

Kingine ni kwanini mitihani ya utumishi isifanyike kikanda?ili kupunguza mzigo wa gharama na usumbufu?Au mkaanzisha online interview??



 
Kwa hio hii inahalalisha watu kuvujishiwa mtu au sio man?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Vijana wamechoma nauli+lodge kumbe wajuba mzigo wanao ndani tayari wamekuja kuwachora tu wanyonge.

Kuna jamaa alikua anawasifia UTUMISHI anakwambia wale mpk Wana Quality Controll office hapo ofisini kwao kwa ajili ya hio mitihani kumbe Ni ujinga mtupu.
 
Haihalalishi Man ila tu katika Maisha sio kila jambo ni la kulia lia tu, some of our greatest tragedies sometimes zinakuja na bahati ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere anakwambia mswahili hua akitaka kutetea Jambo la kipumbavu hua anaweka na kiingereza kidogo ili aonekane anaongea Jambo la Maana sana, πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…