Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Cha msingi ,ni je wewe umejibu kwA usahihi huo mtihani? Maana jibu la ukweli huwezi kuwekewa mkasi!

I came to a realization kuwa hakuna haki kwenye education system hata kwenye kuajiriwa hapa Bongo...hii ilinisaidia Sana.
Yani Chuoni nilikua sijali kuhusu kuvujishwa pepa au watu kupewa majibu ,nilikua nahakikisha mimi kwanza nimepiga msuli wa kutosha Hayo ya nje yalikua hayanihusu...
 
Kutoka kwa mdau



Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.

Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.

Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja


Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nmetumia zaidi ya 200,000 kutoka kigoma na kulala lodge.

Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar

View attachment 1885554

Hii nchi haipo fair kabisa, ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?
Dogo unamwaga ugali na mboga kwa pamoja hili mkose wote
 
1.A -corruption
-conspirancy
-trespassing/leaving without following procedures
-Smuggling
-aiding/abetting

B-description of goods either merchandise, livestock, wares, articles or currency
-Quantity
-Quality
-Package

4. A- The VAT Act 1997
-The EFD Act 2010
-The EACCM Act 2004
-The EACCM Act Amendment 2011
-The Excise management and Tarrif Act

B-transaction value of imported goods
-transaction value of identical goods
-transaction value of similar goods
-deductive method
-computed method
-fall back method

5.- Quantitative research
-Qualitative research
-Descriptive research
-Comperative research
-Experimental research

JamiiForums2026969627.jpg
 
Haihalalishi Man ila tu katika Maisha sio kila jambo ni la kulia lia tu, some of our greatest tragedies sometimes zinakuja na bahati ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekua umeenda Dom ukakumbana na ile kadhia ya Usafiri wa kwenda Dom tabu, Pa Kulala tabu, kule Udom No Food, No Water, Usafiri wa kwenda udom na kurud tabu, kisha uje uambiwe kuna wenzio wao kazi yao ilikua kunakili tu lazima hutofurahia.

Ila Kama Hukukumbana na hiyo kadhia bas ni halali yako kuandika hivyo.
 
Ungekua umeenda Dom ukakumbana na ile kadhia ya Usafiri wa kwenda Dom tabu, Pa Kulala tabu, kule Udom No Food, No Water, Usafiri wa kwenda udom na kurud tabu, kisha uje uambiwe kuna wenzio wao kazi yao ilikua kunakili tu lazima hutofurahia.

Ila Kama Hukukumbana na hiyo kadhia bas ni halali yako kuandika hivyo.
Utaonekana mnoko ukisema hivyo mkuu, 😄😄😄
 
Tax exemption is like a desert it is good to have but it does not help very much if the meal is not there.Hii lugha angeiona jiwe angechefukwa sana uadui wa beberu na jiwe ulikuwa unaanzia hapa,ukiongea lugha hii jiwe alikuwa anatamani kukuua
 
Issue ya utumishi ingetoka tu. Mtu uapply moja kwa moja kwenye shirika ata hongo bora utoe huko huko.

Kujuana na kushikana mkono hakukosekani hata kwenye kampuni nyingine unakuta wanaanza kuulizia kwa wafanyakazi kama kuna mtu wanaona ana uwezo na kazi tajwa then vigezo visipofit wanatoka nje ndio kupost matangazo.

Poleni sana mlioenda interview.
 
Back
Top Bottom