Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

hujamalizia usemi WA Mtikila kua
"Haiwezekani 95% ya bunge la katiba liundwe na wanasiasa ambao Tanzania hii hawazidi hata milion Tano. halafu Watanzania walio wengi wawe na 5% tu ya uwakilishi. watanzania wamenyimwa uwakilishi wa kutosha
HIVYO TUTAENDA MAHAKAMANI NA TUTASHIDA! !!"

We jamaa umenifurahisha sana..natamani ningekua na uwezo nikukutanishe Rev. Mtikila mkabadirishana mawazo..yahani wakipatikana watu watano kama wewe na wengine watano kama Rev. Mtikila hata kwa posho ya kilo kilo kwa siku mkakaa dodoma ndani ya wiki mbili mnatutolea bonge la katiba la kizalendo litakalotuvusha miaka 50 ijayo..
Sio hao wahuni 600 wanaowaza posho tu..swine kabisa
 
Kikwete hajawahi kufanya uteuzi wa viongozi wa serikali au wajumbe wa board kwa kuzingatia uwezo wao bali huteua watu kwa kuzingatia uswahiba maana hutumia uteuzi kama zawadi na ulipaji wa fadhila kwa wahusika.

Hata katika uteuzi wa wajumbe wa bunge la katiba sidhani atakuwa aliweka hulka yake pembeni!

Mtikila yupo.sahihi. Sitarajii mtu kama Lusinde, Mshirikina Majimarefu, Nkamia, Mwigulu, Komba, n.k. wanaweza kuwa na hekima ya kutengeneza katiba ya nchi.Tanzania tuna bahati mbaya sana maana wasio na akili ndiyo wanaotuongoza.

Hajamtukana,hizo ni sifa alizonazo Sammy.Gabbage in, Gabbage out. Uteuzi wake unaweza kukupa picha halisi kuwa Sammy ni mtu wa aina gani!
 
We unasoma kwa kigugumizi nini? Tayari amemtukana kwa kusema kuwa na aliyewatua naye ni mhuni! Rudia kusoma tena! Issue ni kwamba tumfanyeje kwa kumtukana MTUKUFU RAIS?

Mpeleke mahakamani!
 
Mpeleke mahakamani!

Haahaaa mpleke uone km hajkufunga ww. Umesahau ni majuzi tu alimtukana kikwete jamhuri ikamshtaki lakini akashinda?
Jamani ifike mahali watanganyika tutambue haki zetu si kuburuzwaburuzwa tu km watoto wadogo
 
Haahaaa mpleke uone km hajkufunga ww. Umesahau ni majuzi tu alimtukana kikwete jamhuri ikamshtaki lakini akashinda?
Jamani ifike mahali watanganyika tutambue haki zetu si kuburuzwaburuzwa tu km watoto wadogo

Hivi si haki ya kuzungumza ni haki ya mtu kikatiba
 
MTIKILA huwa haeleweki, pia ni mtu anae penda sana kesi. Akikoswa kesi ama ya kushitaki au kushitakiwa huwa hana raha kama mlevi kukosa pombe. Kwa hili amekosea, unaposema wajumbe wa baraza la katiba ni wahuni na washenzi, unakuwa umemtukana pia rais alie wateua hawa watu.

Tatizo lako unadhani rais ni mtakatifu. Hujui afrika hii hata wahuni wako madarakani?
 
Kama unamkubali Mtikila mwenye chama chenye usajili wa kudumu ingawa wanachama wote alionao hawafiki 150, basi unamatatizo makubwa.

wewe Ndio una matizo makubwa maana amesema kile kitu kinacho onekana kwa Hao anao waita washwenzi.
 
Wewe ndiye una matatizo tena sana,nyie ndio wale wale vibaraka wa mafisadi,mpo mpo tu kuongeza ili mradi,kuongeza idadi ya kura kwa mafisadi.
 
Mtikila ni Kichwa,na ndiye msomi anayeitumia elimu yake ki Uzalendo,sio nyie wenzangu na mie,mnaosoma ili mje mtuibie na taifa lididimie.
 
Mtikila ni zaidi ya CHADEMA!

Mtanisamehe kwani kwenye posho,hakuna tofauti ya wapinzani na chama tawala!

Akili zako zimefikiri sana tu na kuamua kuandika huu UOZO wako hapa jamvini na hii inamaanisha kuwa umeshafikia tamati hivyo basi kwa niaba ya Great Thinker wanaojielewa kama mimi... Nasema hivi ni kuwa tumeshakusamehe kabla hata haujaandika huu upuuzi wako, kaoge ukalale.
 
du hapa kuna kaz ktk binge LA katiba wale tuliowatemea kumbe naona in chumia tumbo ndiyo kwanza wanadai nyongeza tuhumieni mmesahau kila Tanzania anadaiwa Tsh, 600,000/:
saw a name bil, 27.Posho ya laki 3 inatosha
 
Chm maandano kudai umeya mbona hili LA posho msiandame?
kupinga chonde chonde andamaneni.
 
Mtikira anachosema ni kweli kabisa,hivi mtu kama Lusinde,kingunge,mwigulu na Maccm yote wanaingia bunge la katiba kwa upuuzi ambao wanauonyesha bungeni bado unaweza kuona katiba yenye akili? Mtikira uko sahihi kabisa.

Hivi wewe ni nani anaekupa kiburi cha kufanya uhuni wa kubadilisha jina la mtu? Miaka yote tunajuwa huyu Mchungaji anaitwa Mtikila vipi wewe kumwita "Mtikira"? Kama si uhuni basi huu unaouonesha ni upunguani wa hali ya juu.
 
Chm maandano kudai umeya mbona hili LA posho msiandame?
kupinga chonde chonde andamaneni.
 
Back
Top Bottom