Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 518
hujamalizia usemi WA Mtikila kua
"Haiwezekani 95% ya bunge la katiba liundwe na wanasiasa ambao Tanzania hii hawazidi hata milion Tano. halafu Watanzania walio wengi wawe na 5% tu ya uwakilishi. watanzania wamenyimwa uwakilishi wa kutosha
HIVYO TUTAENDA MAHAKAMANI NA TUTASHIDA! !!"
We jamaa umenifurahisha sana..natamani ningekua na uwezo nikukutanishe Rev. Mtikila mkabadirishana mawazo..yahani wakipatikana watu watano kama wewe na wengine watano kama Rev. Mtikila hata kwa posho ya kilo kilo kwa siku mkakaa dodoma ndani ya wiki mbili mnatutolea bonge la katiba la kizalendo litakalotuvusha miaka 50 ijayo..
Sio hao wahuni 600 wanaowaza posho tu..swine kabisa