Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Kagame weka mbali na watoto..wakongo wanalia sasa unwajua M23 wewe...we must watch our bodaz closely
 
huyu mtikila si wa kupuuzwa.nimeogopa hii ni hatari.


Namkubali kwa kuona Mbali...
Hili la katiba mpya alilipigania miaka mingi ilopita ila akaonekana kama zezeta vile...

Pia mapema kabisa aliwachukia wahindi na akasema hawa watu sio wazuri na akawapa jina ---------...lakini jamaa wakaendelea kukumbatiwa mpaka leo hii wanazidi kutupiga na kutuumiza tu...

Kuna mengine meengi sana alishayaweka wazi ila kiburi cha viongozi wetu ndo kimetufikisha hapa...
 
All garbage and sad thing many people are falling for this BS,angalieni sana nyie Mtikila anajulikana na chuki zake towards Tutsi and Indians(gabachori according to him) ni very dangerous game,civil war,genocide etc katika nchi nyingi hazianzi kwa vitu vikubwa sana kama watu wanavyodhani,ni mambo kama haya ya Mtikila ndio vyanzo vyake,mtabishana wengine lakini katika hao 35000 mbona hajatuonyesha hata 20 tuu wakamatwe?na mkumbuke kuna watanzania wengi mpakani na Rwanda/Burundi kama waha na wahangaza etc wanaongea lugha zinazofanana na kinywarwanda,na koo nyingi katika hayo makabila zinajulikana ni Tutsi or hutu ingawaje wengi hawapendi kuongelea hayo mambo..waha wa kigoma,wahangaza wa Ngara wote wanajijua you either hutu or Tutsi(sad but true),chukua wale wabunge wa Kigoma wote almost they are either hutu or Tutsi na wanajijua
 
Mtikila kaongea ukweli, anayebisha afanye uchunguzi maeneo yote tajwa halafu ataona mwenyewe! Mtikila hakoseagi, yuko makini kama huamini fwatilia hadi kesi zake. Kwa hili tusipuuze othewise tutajuta mda si mrefu!
 

si utani, tuna kazi na isipofanyika mapema itakuja kutugharimu hata damu zaidi!
 
Mnawabagua Warwanda na Waganda wenye asili na demu yetu? Na Wahindi unajua idadi yao wanaojificha kwenye majengo, maofisini, mahotelini kwa wenzao?
Huu waraka huenda ni maagizo ya mkuu wa nchi. What a coincidence? Mbona kabla ya suala TFDL tulikuwa hatujasikia haya yote? Mtikila naona kapewa posho kidogo kusambaza ujumbe.
 
I once saw a cartoon showing two hippopotami basking in a swamp, and one was saying to the other: "Funny--I keep thinking it's Tuesday!" Surely no hippopotamus could ever think the thought that it's Tuesday. But on the other hand, if a hippopotamus could say that it was thinking any thought, it could probably think the thought that it was Tuesday.

Let's see !! watch out TZ
 

Unataka kumwambukiza nani na akili zako za kitumwa pa.ka wee.
 

ndugu tz viongozi wetu wako likizo, raia ndio wanatakiwa kuchukua hatua!
 

ni kweli kabisa pongezi kwa aliyeleta mada hii!
ili ujue kwamba mtikila anasaidia mengi kwenye nchi hii fwatilia hata kesi zake!huyu jamaa ni mwanaharakati makini!kwa yeyote anaempuuza hamfahamu vizuri.
 
Huu waraka huenda ni maagizo ya mkuu wa nchi. What a coincidence? Mbona kabla ya suala TFDL tulikuwa hatujasikia haya yote? Mtikila naona kapewa posho kidogo kusambaza ujumbe.

whatever...!kapewa posho, katumwa na nani, hilo wala hatulitaki kulijua!swali la msingi, la-kujiuliza na kufanyia research ni 'je kuna ukweli ktk hili?' tuamke watz, tuwe macho, tuwe makini, la sivyo nchi tutajikuta ni mateka! tuzinduke watz, tusiwe wazembe, wajinga miaka yote!
 
Huu waraka huenda ni maagizo ya mkuu wa nchi. What a coincidence? Mbona kabla ya suala TFDL tulikuwa hatujasikia haya yote? Mtikila naona kapewa posho kidogo kusambaza ujumbe.


Mkuu hili mbona lina siku tokea limetoka? Jaribu kuangalia kwa mara ya kwanza lilitoka lini na Kikwete alitoa ushauri wake lini. Hata kama yangetoka kwa wakati mmoja bado sisi kama wasome tulitakiwa kuangalia kilichomo na si vinginevyo, kumbuka Mtikila anaongelea watanzania wananyanyaswa ndani ya aridhi yao. Hili suala linatakiwa kuchukuliwa kwa uzito, linapokuja suala la watanzania wenzetu kunyanyaswa tunatakiwa kuweka pembeni tofauti zetu na kuwatetea kwanza ndugu zetu dhidi ya adha wanazopata katika aridhi yetu.
 
Ningemuelewa angesema Kagame apenyeza Wanyarwanda na si kusema "Watusi".
 
ni kweli kabisa pongezi kwa aliyeleta mada hii!
Ili ujue kwamba mtikila anasaidia mengi kwenye nchi hii fwatilia hata kesi zake!huyu jamaa ni mwanaharakati makini!kwa yeyote anaempuuza hamfahamu vizuri.

mada hii ina thamani ya dola BILIONI moja.abarikiwe mara milioni mleta mada.mods msiiyeyushe,watanzania wengi watafungukuka.watusi ni moja ya majanga nchini.inahisiwa kuwa wanafanya kazi bega kwa bega na magamba.hata polisi kupiga na kuua wapinzani wana mkono.wanataka ccm itawale milele ili wakamilishe mchakato wao wa bahima empire kupitia EAC.nimekuwa nashangaa kwa nini ccm imepenyeza watusi sehemu nyeti za nchi yetu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????????????????????????????????????
 
KASHAIJABUTEGE; Ningemuelewa angesema Kagame apenyeza Wanyarwanda na si kusema "Watusi".

Kaka ata jina lako limekaa ktusi mpo wengi sana kiukweli kagame hajali wanyaruanda anajali watusi ndio maana ata mseven anataka kumpa mtoto wake nchi...angekua anajali wanayaruanda asingeua wanyarawanda 6m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…