Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtikila si wa kupuuzwa.nimeogopa hii ni hatari.
Mimi nasema ukweli na nitasema kweli daima, kwa Wanyarwanda tulishabug zamani sana yaani kwa sasa hivi ndo tunaplan haya ya kuwadhibiti wakati wapo ahead for 40% sisi tunatakiwa tupambanae kwanza turejeshe hizo 40% ndo then tuunde mkakati kabambe wa kujilinda la sivyo kule kwetu wanasema "twafwa lelo"
hivi unaelewa kuna aina ngapi ya uraia? ni kwanini unasema Mungai na Masha ni wageni siyo Watanzania?
Huu waraka huenda ni maagizo ya mkuu wa nchi. What a coincidence? Mbona kabla ya suala TFDL tulikuwa hatujasikia haya yote? Mtikila naona kapewa posho kidogo kusambaza ujumbe.Mnawabagua Warwanda na Waganda wenye asili na demu yetu? Na Wahindi unajua idadi yao wanaojificha kwenye majengo, maofisini, mahotelini kwa wenzao?
Rev. ni kiboko. Kwa wale vijana wa zamani mtakumbuka kuwa yale maji matakatifu ya Ilala yalivyowahi kupewa jina la Rev.
Kuhusu hoja yake, mimi naona ni heri kabisa kuwa chini ya himaya ya Watutsi yenye kuleta maisha bora kuliko hii himaya ya njaa kaya kwetu.
Namkubali kwa kuona Mbali...
Hili la katiba mpya alilipigania miaka mingi ilopita ila akaonekana kama zezeta vile...
Pia mapema kabisa aliwachukia wahindi na akasema hawa watu sio wazuri na akawapa jina ---------...lakini jamaa wakaendelea kukumbatiwa mpaka leo hii wanazidi kutupiga na kutuumiza tu...
Kuna mengine meengi sana alishayaweka wazi ila kiburi cha viongozi wetu ndo kimetufikisha hapa...
asante mleta mada na mtikila kwa ujumla wenu..ukweli ni kwamba kagame na mseveni wanaajenda ya kuiteka congo upande wa mashariki na tz yote waichanganye na burundi kujenga himaya ya basulu,hiyo ndo agenda yao sishangai,hawa akina jk sijui wapowapo tu kama mbulula.
Huu waraka huenda ni maagizo ya mkuu wa nchi. What a coincidence? Mbona kabla ya suala TFDL tulikuwa hatujasikia haya yote? Mtikila naona kapewa posho kidogo kusambaza ujumbe.
Huu waraka huenda ni maagizo ya mkuu wa nchi. What a coincidence? Mbona kabla ya suala TFDL tulikuwa hatujasikia haya yote? Mtikila naona kapewa posho kidogo kusambaza ujumbe.
hii nondo niliisoma last week nikakshiwa nguvu kabisa!
Yaani wanataka create dola ya kitusi
Ningemuelewa angesema Kagame apenyeza Wanyarwanda na si kusema "Watusi".Mkuu hili mbona lina siku tokea limetoka? Jaribu kuangalia kwa mara ya kwanza lilitoka lini na Kikwete alitoa ushauri wake lini. Hata kama yangetoka kwa wakati mmoja bado sisi kama wasome tulitakiwa kuangalia kilichomo na si vinginevyo, kumbuka Mtikila anaongelea watanzania wananyanyaswa ndani ya aridhi yao. Hili suala linatakiwa kuchukuliwa kwa uzito, linapokuja suala la watanzania wenzetu kunyanyaswa tunatakiwa kuweka pembeni tofauti zetu na kuwatetea kwanza ndugu zetu dhidi ya adha wanazopata katika aridhi yetu.
ni kweli kabisa pongezi kwa aliyeleta mada hii!
Ili ujue kwamba mtikila anasaidia mengi kwenye nchi hii fwatilia hata kesi zake!huyu jamaa ni mwanaharakati makini!kwa yeyote anaempuuza hamfahamu vizuri.
Ningemuelewa angesema Kagame apenyeza Wanyarwanda na si kusema "Watusi".
KASHAIJABUTEGE; Ningemuelewa angesema Kagame apenyeza Wanyarwanda na si kusema "Watusi".