Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Wanajamvi!
Hatimaye Rais wa JMT amefunguka katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa saba akisema mengi lakini kubwa kabisa ni TENSION ILIYOPO KTK DIPLOMACY NA RWANDA.
Safari mkoani Kagera ilikuwa ni kuthibitisha kauli zilizotolewa na MCHUNGAJI MTIKILA katika waraka wake mrefu kuhusu KUNDI kubwa la WANYARWANDA wlioingia nchini katika mapori ya mikoa ya KAGERA, KIGOMA na sehemu za mkoa wa GEITA.
Wengi waliubeza waraka wa mchungaji na wenye akili timamu walimwona kuwasaidia vyombo vya ulinzi na usalama hatimaye ikulu ikapanga ratiba ya kuuzungukia MKOA mama wenye wahamiaji haramu wengi na makundi makubwa ya ng'ombe.
Matusi ya Paulo Kagame yamejibiwa kwa HIGH DIPLOMATIC TACTIC AND TECHNICAL PHRASES na uso usiokuwa na jazba lakini A MAN WAS VERY FURIOUS akiuma na kupuriza
Wanyarwanda wakatili mno na kama hujakutana nao usiombee kwani Watanzania wana aibishwa porini na askari wetu wkiuawa hovyo na kunyang'anywa siraha zilizonunuliwa wa fedha ya walipa kodi
Wito, tushikamane wote wakati wa OPERATION KUWAFICHUA warudi kwa KAGAME wakabanane labda atakaa meza moja na waasi wake na kuleta amani katika maziwa makuu
Kagame ni mtu hatari sana ikiwezekama JWTZ waunganishe mission ya kumkamata,yeye na dictator M7 ndo wanahamasisaha EAC yao,mm natamani hata kesho ikibidi kujitolea kumchapa nitakua mstari wa mbele
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hakuna mwanasiasa mwenye mafanikio kama mchungaji mtikila katika hoja zake, sisemei ushabiki wa vijana wasiojua mambo ila kwa ustawi na ujenzi wa taifa endelevu!
Moja ya hoja alizowahi simamia na mpaka leo zinafanyiwa kazi japo huwa wanamfikiria kama mwehu wasiomjua ni hizi kwa uchache.
1.serikali tatu ktk kipindi cha nyerere na kuitwa majina ya ajabu
2.mgombea binafisi mpaka wa2 walikuwa wanamcheka wasioelewa
3.udini
4.waraka wa wanyarwanda kwa jk!
Hakika mtikila ni hazina ya taifa,the man is straight with facts! Atakumbukwa ktk historia ya tz kama mwanasiasa mahili ever lived. Viva mtikila, go ahead and God bless u, amen!
endelea kuota na kiblackberry chako
Wa TZ watu waajabu sana. kwatalifa yenu wanyaru ndo mitaji ya wakuu wa mikoa,wilaya,idara,madiwani,wenyeviti, ninacho wahakikishia kama kuna wanyaru watarudi hawatazidi 30%. nilitegemea Raisi angetoa sikumbili. kwani sasa wanahamia mikoa mingine
Nafurahi kuona katika masuala ya ulinzi na usalama wa mama yetu Tamzania , sote tupo pamoja, na hilo ndio pigo kubwa sana kwa Namilonjo Kagame.
Bibilia inasema mpende adui yako!!!Nakubaliana na nyie,lakini kwa kweli mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.Leo kwao kesho kwetu.Hii Dunia sote tunapita tu.Tuwe busara ya kujenga na sio kubomoa.Huyu mtikila nashindwa kuelewa uwa anahubiri nini huko kanisani kwake?anahubiri upendo kweli?.
Bibilia inasema mpende adui yako!!!
Bibilia hiyo hiyo ianufundisha kuwa dhambi ya kuua kama alivyofanya Kagame ni nyekundu na suluhu lake ni kukubali toba na mazungumzo ya amani ili kumuona Mungu.
Kaini alimuua Abeli kwa siri kama Kagame anavyua sasa lakini damu ya watu wanao uawa ina mulilia Mungu kutoka ardhi ya RWANDA!!!
Yeah,
Serukamba anaasili hiyo ya utusi.
Lakini hai halalishi madai hayo ya kutumiwa na Kagame.
Lakini huu upuuzi wa kubaguana kwa makabila mbona unaanza kushamiri sana siku hizi? Wakati wa Mwalimu hakukuwa na ujinga huu kama ilivyo sasa.