Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Tupo pamoja...heshima ni muhimu sana.Tumemsahidia Kuwashitaki na kutafuta haki kwa Kuwafunga Wahutu pale UNICTR, leo hii analeta Kidume. Basi twende Kazini...ninao uhakika hilo jeshi lake la Polini ( Wanyamlenge) si lolote wala chochote tofauti na Kuvuta bangi na Kubaka wakongomani huko Kivu..
 
Wanajamvi!

Hatimaye Rais wa JMT amefunguka katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa saba akisema mengi lakini kubwa kabisa ni TENSION ILIYOPO KTK DIPLOMACY NA RWANDA.

Safari mkoani Kagera ilikuwa ni kuthibitisha kauli zilizotolewa na MCHUNGAJI MTIKILA katika waraka wake mrefu kuhusu KUNDI kubwa la WANYARWANDA wlioingia nchini katika mapori ya mikoa ya KAGERA, KIGOMA na sehemu za mkoa wa GEITA.

Wengi waliubeza waraka wa mchungaji na wenye akili timamu walimwona kuwasaidia vyombo vya ulinzi na usalama hatimaye ikulu ikapanga ratiba ya kuuzungukia MKOA mama wenye wahamiaji haramu wengi na makundi makubwa ya ng'ombe.

Matusi ya Paulo Kagame yamejibiwa kwa HIGH DIPLOMATIC TACTIC AND TECHNICAL PHRASES na uso usiokuwa na jazba lakini A MAN WAS VERY FURIOUS akiuma na kupuriza

Wanyarwanda wakatili mno na kama hujakutana nao usiombee kwani Watanzania wana aibishwa porini na askari wetu wkiuawa hovyo na kunyang'anywa siraha zilizonunuliwa wa fedha ya walipa kodi

Wito, tushikamane wote wakati wa OPERATION KUWAFICHUA warudi kwa KAGAME wakabanane labda atakaa meza moja na waasi wake na kuleta amani katika maziwa makuu

Big up JK. Tupo pamoja nawe katika kuhakikisha taifa letu halimegwi na manyan'gau wasiotuthamini. Ukitaka msaada wetu katika hili tueleze tutachanga hata ikiwezekana kujiunga na jeshi ili tu tukapambane na hao washenzi. Viburi na dharau zao wakae navyo hukohuko kwao.
 
Kagame ni mtu hatari sana ikiwezekama JWTZ waunganishe mission ya kumkamata,yeye na dictator M7 ndo wanahamasisaha EAC yao,mm natamani hata kesho ikibidi kujitolea kumchapa nitakua mstari wa mbele

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

endelea kuota na kiblackberry chako
 
Inafuhisha kuona watz tunaungana ktk kutetea haki na ustawi wa Taifa letu na kuweka kando itikadi zetu za vyama, kidini tushirikiane ktk kuwafkchua hawa jamaa warudi makwao big up Mtikila
 
Hakuna mwanasiasa mwenye mafanikio kama mchungaji mtikila katika hoja zake, sisemei ushabiki wa vijana wasiojua mambo ila kwa ustawi na ujenzi wa taifa endelevu!
Moja ya hoja alizowahi simamia na mpaka leo zinafanyiwa kazi japo huwa wanamfikiria kama mwehu wasiomjua ni hizi kwa uchache.
1.serikali tatu ktk kipindi cha nyerere na kuitwa majina ya ajabu
2.mgombea binafisi mpaka wa2 walikuwa wanamcheka wasioelewa
3.udini
4.waraka wa wanyarwanda kwa jk!
Hakika mtikila ni hazina ya taifa,the man is straight with facts! Atakumbukwa ktk historia ya tz kama mwanasiasa mahili ever lived. Viva mtikila, go ahead and God bless u, amen!

5. Kwa wasiojua, yeye ndiye aliyesababisha kuondolewa kwa passport ya/za kwenda na kurudi Zanzibar, najua wengu humu ni vijana sana hamuelewi.
 
Wa TZ watu waajabu sana. kwatalifa yenu wanyaru ndo mitaji ya wakuu wa mikoa,wilaya,idara,madiwani,wenyeviti, ninacho wahakikishia kama kuna wanyaru watarudi hawatazidi 30%. nilitegemea Raisi angetoa sikumbili. kwani sasa wanahamia mikoa mingine
 
na mifugoyao. wanaikabidhi kwa watu wengine msako ukiisha wanarudi. na kabra ya tangazo hili taarifa zisha vuja mda mrefu na ng'ombe wengi walisha hamishwa. pole watanzania pole raisi, kikulacho kimaungoni mwako
 
Wa TZ watu waajabu sana. kwatalifa yenu wanyaru ndo mitaji ya wakuu wa mikoa,wilaya,idara,madiwani,wenyeviti, ninacho wahakikishia kama kuna wanyaru watarudi hawatazidi 30%. nilitegemea Raisi angetoa sikumbili. kwani sasa wanahamia mikoa mingine

hilo nalo jambo
 
Nafurahi kuona katika masuala ya ulinzi na usalama wa mama yetu Tamzania , sote tupo pamoja, na hilo ndio pigo kubwa sana kwa Namilonjo Kagame.

Haha ...unanishangaa km nilivyokuwa nakushangaa....Nadhani watu wakiiweka Tanzania pema kwa kuelimisha CCM watenganishe kutolewa kwao ikulu na hitaji la kulinda inchi wataanza danganya watu kuwa anayetaka waondoa anataka hatarisha nchi.

Hotuba ya kwanza ya JK ilinitia kichefuchefu kwani haikupeleka ujumbe stahiki...hakuwa direct na authoritative.Nashukuru kasikia katoa ujumbe mzuri usio wa shari ila usioonyesha hofu wala kumumunya maneno.sasa underground battle ni kazi ya wataalamu waliobaki kk Jeshi, na usalama kufanya kw amakini hadi jamaa akose ushahidi kuwa tayari anaminywa nyeti.

Jk alipaswa fanya haya kwa idara nyingi hata ndani ya nchi, km wauza unga, majangili, na si kuacha serikali yake ianze ua waandishi, wapinzani, na hata wengine...upinzani imara na salama ni afya kwa democrasia na sifa kwa nchi, CCM wanasahau kubadilisha marais salama wa chama kimoja hakuonyeshi tumekomaa, tutakomaa km tutabadilisha na vyama salama.

JK akipigana na madawa, ujangili na ufisadi mwingine anaweza ingia ktk historia, ila akilegea ataishia ktk historia ya kivyake km anavyoelekea.
 
Yaani huyu Mchungaji Mtikila wangu sijui yuko wapi saa hizi maana hata Rasimu ya Katiba ya Muungano hayupo
Nafurahi mawazo yake leo JK ndio ameyaona kwani alishatyutaarifu mapema kuwa hao watutsi si wazuri na akamtaja Mkuu wa Mkoa kanali Massawe anavyajaribu kuwahamisha hawa watu wakati Watendaji wakipokea milungula ili kuwabakiza katika ardhi yetu.
 
Nakubaliana na nyie,lakini kwa kweli mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.Leo kwao kesho kwetu.Hii Dunia sote tunapita tu.Tuwe busara ya kujenga na sio kubomoa.Huyu mtikila nashindwa kuelewa uwa anahubiri nini huko kanisani kwake?anahubiri upendo kweli?.
 
Nakubaliana na nyie,lakini kwa kweli mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.Leo kwao kesho kwetu.Hii Dunia sote tunapita tu.Tuwe busara ya kujenga na sio kubomoa.Huyu mtikila nashindwa kuelewa uwa anahubiri nini huko kanisani kwake?anahubiri upendo kweli?.
Bibilia inasema mpende adui yako!!!
Bibilia hiyo hiyo ianufundisha kuwa dhambi ya kuua kama alivyofanya Kagame ni nyekundu na suluhu lake ni kukubali toba na mazungumzo ya amani ili kumuona Mungu.
Kaini alimuua Abeli kwa siri kama Kagame anavyua sasa lakini damu ya watu wanao uawa ina mulilia Mungu kutoka ardhi ya RWANDA!!!
 
Bibilia inasema mpende adui yako!!!
Bibilia hiyo hiyo ianufundisha kuwa dhambi ya kuua kama alivyofanya Kagame ni nyekundu na suluhu lake ni kukubali toba na mazungumzo ya amani ili kumuona Mungu.
Kaini alimuua Abeli kwa siri kama Kagame anavyua sasa lakini damu ya watu wanao uawa ina mulilia Mungu kutoka ardhi ya RWANDA!!!

mtikila huwa haongei uwongo
 
Yeah,
Serukamba anaasili hiyo ya utusi.
Lakini hai halalishi madai hayo ya kutumiwa na Kagame.
Lakini huu upuuzi wa kubaguana kwa makabila mbona unaanza kushamiri sana siku hizi? Wakati wa Mwalimu hakukuwa na ujinga huu kama ilivyo sasa.

Kwa mujibu wa MTIKILA , Mwalimu pia Alikuwa ni MTUSI, kama vijana wake kagame, Museven na Kabila.
 
Kwa mujibu wa Mtikila,85% ya wanyarwanda ni wahutu na 14% ni watutsi.Je 14% ya wanyarwanda hawa ndio wanaendesha 'apartheid nyeusi' aliyoitaja Mtikila huko DRC,Tanzania,Burundi na Rwanda kwenyewe?na kama ni kweli basi waache waje tu watuamshe watanganyika maana tumelala!utashangaa mtanganyika na akili zake timamu anashabikia serikali mbili huku akitetea suala la gharama kana kwamba hizo gharama anazilipia yeye!Watanganyika tuamke!ni miaka 50 sasa tulikuwa tumeuzika utaifa wetu,wakati umefika sasa wa kuudai kwa njia yoyote ile itakayokuwepo!AMKA WATANGANYIKA!!!
 
Uneducated,unhealthy,unemployed, humiliated by state organs on daily basis,where is the enthusiasm to fight and die for my country? I will be steadfast lovely,i will not fight for my country.
 
Haiwezekani mtu atoe waraka wote huu,uwe uongo kuna kaukweli fulani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mzee wetu mchungaji c,mtikila usipuuzwe hatua kali zianze kuchukuliwa kunusuru janga litakaloweza kuwapata wajukuu zetu #[#they deep plan into future takeover, let take actions now p'se our #gov 't take action#]
 
Back
Top Bottom