Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Ndiyo naisoma hii kitu leo . Naamini PK alikuwa na mkono kwenye kifo cha Rev. Mtikila
 
Andiko la Mtikila (R.I.P) ni kama unabii , miaka 10 baadae CDF analizungumza Tena mbele CIC , hii ni hatari sana

Waraka wa Mtikila ulikuwa mchungu sana na tuhuma zake zilimhusisha Nyerere pia kama Mfadhili wa PK na M7 , hivyo ni ngumu Kusema Kagame alihusika peke yake au hakuhusika kabisa ila akabebeshwa zigo au Alihusika

Hili ni fumbo
 
Acha kuwapa sifa ambazo hawastahili naona vijana mnavyodanganyana humu mara ooh sijui watusi wapo kila sehem na wapo sehem nyeti nani kawadanganya nyie kwamba mambo ni rahisi rahisi kama mnavyofikiria acheni kujidanganya anaweza akawa yupo serikalin na ni mtusi lakin asijue lolote wala asifanye lolote na wala asijue chochote acheni kuleta propaganda za kipumbavu mnafikir nchi inaendeshwa ovyo ovyo
 
ACHA UJINGA soma mkataba wa lemera jinga sana weewe
 
Duuuuh huu uzi sikuwahi kumuona asee.... Leo nimeupitia wote.... Hatari Sana.... Ingekua Kuna option ya 'pin' basi ningeomba Mods wau'pin hapo front page ili Kila anayeingia JF siku yoyote ausome kujihadhari...
 
Duuuuh huu uzi sikuwahi kumuona asee.... Leo nimeupitia wote.... Hatari Sana.... Ingekua Kuna option ya 'pin' basi ningeomba Mods wau'pin hapo front page ili Kila anayeingia JF siku yoyote ausome kujihadhari...
Rest in Peace Christopher Mtikila andiko lake ndio lilitutoa kwenye usingizi na TISS walishindwa kumsaidia Akashiwa kuuliwa na Kageme men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…