Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na propaganda hizi chafu za Mtikila. Peter Serukamba ni mtanzania,Baba yake ni Msukuma, Mama yake ni mjiji/tutsi,. Ninamfahamu Peter,kwa undani hasa. Hata wakati anaomba kuteuliwa na Chama chake cha magamba 2005,wapinzani wake within CCM Wali-raise hii uppuzi. Ilibidi waende hadi Kijijini Mkigo-Manyovu aliko babu na wajomba zake,
Hivyo hii kitu ni uzushi.
Mtikila wA siku hizi ni shombo tupu.
Yeah,Kumbe Serukamba ana asili ya Watusi? Hao jamaa hawaachi asili yao, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa Kagame kumtumia!
JF...!
Shalom wakuu! Nimejaribu kupitia article ya mch.Mtikila inayoonesha mbinu chafu za Rais Paul Kagame wa Rwanda dhidi ya Taifa letu, Lakini nimeshangaa kusoma kuwa Mhe.Peter Serukamba wa Kigoma Mjini(CCM) kuwa si mtanzania bali ni Jasusi la kinyarwanda aliyepandikizwa na Rais Kagame kwa kazi maalumu ya ushushushu na kuvujisha siri na nyaraka za nchi kwa kutumia mgongo wa cheo chake kama mbunge na uenyekiti wa kamati ya bunge ya manunuzi.
My outlook:
kama ni kweli je Idara ya usalama inasubiri nini kuchunguza madai haya?
Wameishaanza kuondolewa wanarudishwa kwao na ninakuhakikishia kuwa iko siku utakuja hapa kuhadithia,
Unapoamua kumjibu mpuuzi kama kagame huhitaji kupayuka hadharani kuwa utamdunda au kumfanya nini
Unakaa kimya na ikiwezekana unaonyesha kuwa unampenda na ungependa awe rafiki yako lakini siku yakimkuta itamchukua muda sana kujua kilichomgonga na wakati akija kujua kilicho mgonga atakuwa porini anakula majani
Mtikila sijui anapataje haya mabomba..aliwahi sema udini akashitakiwa sasa tunaona.Akasema kuhsu kuhusu jeshi la kagame akaonekana mwehu tena Kagame mwenyewe akaanza mwita mbaguzi na mtu hatari sana ,tena kasema JK ndio anautumia huo waraka.Sijui ndio antaka blackmail au ndio mamluki wa rwanda wapo karibu kabisa na nyumba nyeupe?Wanajamvi!
Hatimaye Rais wa JMT amefunguka katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa saba akisema mengi lakini kubwa kabisa ni TENSION ILIYOPO KTK DIPLOMACY NA RWANDA.
Safari mkoani Kagera ilikuwa ni kuthibitisha kauli zilizotolewa na MCHUNGAJI MTIKILA katika waraka wake mrefu kuhusu KUNDI kubwa la WANYARWANDA wlioingia nchini katika mapori ya mikoa ya KAGERA, KIGOMA na sehemu za mkoa wa GEITA.
Wengi waliubeza waraka wa mchungaji na wenye akili timamu walimwona kuwasaidia vyombo vya ulinzi na usalama hatimaye ikulu ikapanga ratiba ya kuuzungukia MKOA mama wenye wahamiaji haramu wengi na makundi makubwa ya ng'ombe.
Matusi ya Paulo Kagame yamejibiwa kwa HIGH DIPLOMATIC TACTIC AND TECHNICAL PHRASES na uso usiokuwa na jazba lakini A MAN WAS VERY FURIOUS akiuma na kupuriza
Wanyarwanda wakatili mno na kama hujakutana nao usiombee kwani Watanzania wana aibishwa porini na askari wetu wkiuawa hovyo na kunyang'anywa siraha zilizonunuliwa wa fedha ya walipa kodi
Wito, tushikamane wote wakati wa OPERATION KUWAFICHUA warudi kwa KAGAME wakabanane labda atakaa meza moja na waasi wake na kuleta amani katika maziwa makuu
Mtikila sijui anapataje haya mabomba..aliwahi sema udini akashitakiwa sasa tunaona.Akasema kuhsu kuhusu jeshi la kagame akaonekana mwehu tena Kagame mwenyewe akaanza mwita mbaguzi na mtu hatari sana ,tena kasema JK ndio anautumia huo waraka.Sijui ndio antaka blackmail au ndio mamluki wa rwanda wapo karibu kabisa na nyumba nyeupe?
Ila wote wanaogelea ktk nyaraka za mtikila.
Naona uhai unaanza rudi kwa watanzania..ingawa ni ngumu kuwarudisha kabisa kwani kwajinsi watu wamechanganyikana na mengine hata raia wetu nao wataburuzwa km wana matatizo na wenyevitu wanaokula dili mwishowe patakuna makanganyiko.
Ila inata moyo, kwani wengi nao watakimbia wenyewe,wengine watajisalimisha, na wengine watabana tuu au kuingia mikoa ya ndani zaidi ambayo ipo busy sana na kujificha kt nyumba za uzunguni ktk mageti na mogodown..Hivyo operation iende nchi nzima.