Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Jamani, tujue kuwa hata Mtikila anaandika kuhusu ndugu zake ingawa ameingia Tanzania miaka mingi iliyopita. Asituletee kesi zao hapa! Ushahidi upo wa kutosha!
 
Achana na propaganda hizi chafu za Mtikila. Peter Serukamba ni mtanzania,Baba yake ni Msukuma, Mama yake ni mjiji/tutsi,. Ninamfahamu Peter,kwa undani hasa. Hata wakati anaomba kuteuliwa na Chama chake cha magamba 2005,wapinzani wake within CCM Wali-raise hii uppuzi. Ilibidi waende hadi Kijijini Mkigo-Manyovu aliko babu na wajomba zake,
Hivyo hii kitu ni uzushi.
Mtikila wA siku hizi ni shombo tupu.

Kumbe Serukamba ana asili ya Watusi? Hao jamaa hawaachi asili yao, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa Kagame kumtumia!
 
unajua Tanzania haiwezi kukwepeka na hili. watusi wapo among us for years,wameishi nasi na kuoana nasi pia.
hali kathalika Rwanda wapo wabantu huko ten wengi kushinda watusi.
kuwachukia watusi ni kuchukia pengine bab yako au mama yako na ukoo au mkwe nk.
kagame ndio subject and he needa to be taken care of. soon as possible
 
Wanyarwanda ni wengi sana na wameshika madaraka makubwa nchini mwetu. Ikibidi tuanza kuwataja kwa majina kwani tunawafahamu na tunajua kwamba tabia zao sio nzuri, mjini Bukoba ndo usiseme, wapo wamejazana soko kuu wanaendesha biashara zao kama kawaida.
Tatizo la nchi hii ni usanii tu, ebu tukumbushane, vitambulisho vya uraia -zoezi liliishia wapi?
 
Mtikila asipuuzwe hata kidogo mamlaka husika zifanyie kazi tuhuma hizo kwasababu tukuma hizo zina athari sana kwa Tanzania kwa mazingira haya:-Kama tuhuma hizo zina ukweli basi serikali ifanye haraka kchunguza na kuwadhibiti wote waliohusika ikiwa ni pamoja na kuwatimua mara moja wahusika na kama tuhuma za mtikila hazina ukweli basi mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi husika yatazorota hivyo srikali ikanushe na kutoa tamko ili kunusuru ujirani mwema na kuepuka kutengeneza uadui na jirani zetu.
 
JF bana, 'home of great thinkers'

Juzi hapo huyo Mtikila alisema mabomu ya Arusha yalipangwa na CHADEMA, akapondwa sana humu na matusi juu yake.

Leo the same Mtikila kaibuka na jingine la shutma dhidi ya watutsi, ila leo amekua shujaa na mzalendo, mzalendo anayediriki hata kumwita Mwalimu JK Nyerere "baba wa watutsi",
Hata wanazi wa CHADEMA humu JF wanasema eti Mtikila sio wa kumpuuzia, real?

Kwa mtanzania kila mtu atakua adui sasa si mkenya wala mnyarwanda bado mzanzibari na mmalawi.
Kazi kwelikweli!

Na kama hizi ndio fikra za 'great thinkers' then ukombozi utaendelea kuwa msamiati wa kigeni.
 
Kumbe Serukamba ana asili ya Watusi? Hao jamaa hawaachi asili yao, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa Kagame kumtumia!
Yeah,
Serukamba anaasili hiyo ya utusi.
Lakini hai halalishi madai hayo ya kutumiwa na Kagame.
Lakini huu upuuzi wa kubaguana kwa makabila mbona unaanza kushamiri sana siku hizi? Wakati wa Mwalimu hakukuwa na ujinga huu kama ilivyo sasa.
 
JF...!
Shalom wakuu! Nimejaribu kupitia article ya mch.Mtikila inayoonesha mbinu chafu za Rais Paul Kagame wa Rwanda dhidi ya Taifa letu, Lakini nimeshangaa kusoma kuwa Mhe.Peter Serukamba wa Kigoma Mjini(CCM) kuwa si mtanzania bali ni Jasusi la kinyarwanda aliyepandikizwa na Rais Kagame kwa kazi maalumu ya ushushushu na kuvujisha siri na nyaraka za nchi kwa kutumia mgongo wa cheo chake kama mbunge na uenyekiti wa kamati ya bunge ya manunuzi.

My outlook:
kama ni kweli je Idara ya usalama inasubiri nini kuchunguza madai haya?

yaani huyu serukamba aliyewatukana wabunge wazawa fu....you kumbe siyo mtanzania!!!!yaani kigoma mmekosa muha mwenye uwezo wa kuwakilisha!!!!
 
Wanajamvi!

Hatimaye Rais wa JMT amefunguka katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa saba akisema mengi lakini kubwa kabisa ni TENSION ILIYOPO KTK DIPLOMACY NA RWANDA.

Safari mkoani Kagera ilikuwa ni kuthibitisha kauli zilizotolewa na MCHUNGAJI MTIKILA katika waraka wake mrefu kuhusu KUNDI kubwa la WANYARWANDA wlioingia nchini katika mapori ya mikoa ya KAGERA, KIGOMA na sehemu za mkoa wa GEITA.

Wengi waliubeza waraka wa mchungaji na wenye akili timamu walimwona kuwasaidia vyombo vya ulinzi na usalama hatimaye ikulu ikapanga ratiba ya kuuzungukia MKOA mama wenye wahamiaji haramu wengi na makundi makubwa ya ng'ombe.

Matusi ya Paulo Kagame yamejibiwa kwa HIGH DIPLOMATIC TACTIC AND TECHNICAL PHRASES na uso usiokuwa na jazba lakini A MAN WAS VERY FURIOUS akiuma na kupuriza

Wanyarwanda wakatili mno na kama hujakutana nao usiombee kwani Watanzania wana aibishwa porini na askari wetu wkiuawa hovyo na kunyang'anywa siraha zilizonunuliwa wa fedha ya walipa kodi

Wito, tushikamane wote wakati wa OPERATION KUWAFICHUA warudi kwa KAGAME wakabanane labda atakaa meza moja na waasi wake na kuleta amani katika maziwa makuu
 
Wameishaanza kuondolewa wanarudishwa kwao na ninakuhakikishia kuwa iko siku utakuja hapa kuhadithia,

Unapoamua kumjibu mpuuzi kama kagame huhitaji kupayuka hadharani kuwa utamdunda au kumfanya nini

Unakaa kimya na ikiwezekana unaonyesha kuwa unampenda na ungependa awe rafiki yako lakini siku yakimkuta itamchukua muda sana kujua kilichomgonga na wakati akija kujua kilicho mgonga atakuwa porini anakula majani
 
Naona uhai unaanza rudi kwa watanzania..ingawa ni ngumu kuwarudisha kabisa kwani kwajinsi watu wamechanganyikana na mengine hata raia wetu nao wataburuzwa km wana matatizo na wenyevitu wanaokula dili mwishowe patakuna makanganyiko.

Ila inata moyo, kwani wengi nao watakimbia wenyewe,wengine watajisalimisha, na wengine watabana tuu au kuingia mikoa ya ndani zaidi ambayo ipo busy sana na kujificha kt nyumba za uzunguni ktk mageti na mogodown..Hivyo operation iende nchi nzima.
 
Wanajamvi!

Hatimaye Rais wa JMT amefunguka katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa saba akisema mengi lakini kubwa kabisa ni TENSION ILIYOPO KTK DIPLOMACY NA RWANDA.

Safari mkoani Kagera ilikuwa ni kuthibitisha kauli zilizotolewa na MCHUNGAJI MTIKILA katika waraka wake mrefu kuhusu KUNDI kubwa la WANYARWANDA wlioingia nchini katika mapori ya mikoa ya KAGERA, KIGOMA na sehemu za mkoa wa GEITA.

Wengi waliubeza waraka wa mchungaji na wenye akili timamu walimwona kuwasaidia vyombo vya ulinzi na usalama hatimaye ikulu ikapanga ratiba ya kuuzungukia MKOA mama wenye wahamiaji haramu wengi na makundi makubwa ya ng'ombe.

Matusi ya Paulo Kagame yamejibiwa kwa HIGH DIPLOMATIC TACTIC AND TECHNICAL PHRASES na uso usiokuwa na jazba lakini A MAN WAS VERY FURIOUS akiuma na kupuriza

Wanyarwanda wakatili mno na kama hujakutana nao usiombee kwani Watanzania wana aibishwa porini na askari wetu wkiuawa hovyo na kunyang'anywa siraha zilizonunuliwa wa fedha ya walipa kodi

Wito, tushikamane wote wakati wa OPERATION KUWAFICHUA warudi kwa KAGAME wakabanane labda atakaa meza moja na waasi wake na kuleta amani katika maziwa makuu
Mtikila sijui anapataje haya mabomba..aliwahi sema udini akashitakiwa sasa tunaona.Akasema kuhsu kuhusu jeshi la kagame akaonekana mwehu tena Kagame mwenyewe akaanza mwita mbaguzi na mtu hatari sana ,tena kasema JK ndio anautumia huo waraka.Sijui ndio antaka blackmail au ndio mamluki wa rwanda wapo karibu kabisa na nyumba nyeupe?

Ila wote wanaogelea ktk nyaraka za mtikila.
 
Ndio maana hutakiwi kupuuza kitu kama huna uhakika nacho! Tafiti utapata majibu!
 
Hakuna mwanasiasa mwenye mafanikio kama mchungaji mtikila katika hoja zake, sisemei ushabiki wa vijana wasiojua mambo ila kwa ustawi na ujenzi wa taifa endelevu!
Moja ya hoja alizowahi simamia na mpaka leo zinafanyiwa kazi japo huwa wanamfikiria kama mwehu wasiomjua ni hizi kwa uchache.
1.serikali tatu ktk kipindi cha nyerere na kuitwa majina ya ajabu
2.mgombea binafisi mpaka wa2 walikuwa wanamcheka wasioelewa
3.udini
4.waraka wa wanyarwanda kwa jk!
Hakika mtikila ni hazina ya taifa,the man is straight with facts! Atakumbukwa ktk historia ya tz kama mwanasiasa mahili ever lived. Viva mtikila, go ahead and God bless u, amen!
 
Kuna baadhi ya watu huwa wanamuona mtikila kama chizi lakini ukichunguza mambo anayoyasemaga 90% huwa yanakuja kuwa kweli. Kumbuka pia yeye ndio alianzisha hoja ya mgombea binafsi na alishinda mahakamani,na sasa hoja hiyo ipo kwenye rasimu ya katiba. Serikali kwa sasa iwe karibu na Mtikila kwani ana mambo mengi anayoyafahamu.

Mtikila sijui anapataje haya mabomba..aliwahi sema udini akashitakiwa sasa tunaona.Akasema kuhsu kuhusu jeshi la kagame akaonekana mwehu tena Kagame mwenyewe akaanza mwita mbaguzi na mtu hatari sana ,tena kasema JK ndio anautumia huo waraka.Sijui ndio antaka blackmail au ndio mamluki wa rwanda wapo karibu kabisa na nyumba nyeupe?

Ila wote wanaogelea ktk nyaraka za mtikila.
 
Kwa khotuba hii, kwa wasomjua JK watasema ni ya kawaida sana.

JK amekasirika sana sana hapo, tena yupo serious mno na hahitaji diplomasia tena. Anachofanya na atakachofanya ni mission ya chini kwa chini na kumshikisha adabu Kagame.

Usalama wa Kagame ni kuipigia magoti Tanzania, nje ya hapo ni "watajutia wanyarwanda".

JK ni mkali mno hasa aamuapo kudeal na adui, yaani huwa haishii njiani na hasa ukizingatia ameshatishiwa mpaka usalama wake mwenyewe, katishiwa usalama wa taifa lake mwenyewe na wananchi wake.

Kwa kipindi hiki atasitisha kabisa safari za nje ili mpaka hatma ya Rwanda aijue na aihitimishe.
 
Naona uhai unaanza rudi kwa watanzania..ingawa ni ngumu kuwarudisha kabisa kwani kwajinsi watu wamechanganyikana na mengine hata raia wetu nao wataburuzwa km wana matatizo na wenyevitu wanaokula dili mwishowe patakuna makanganyiko.

Ila inata moyo, kwani wengi nao watakimbia wenyewe,wengine watajisalimisha, na wengine watabana tuu au kuingia mikoa ya ndani zaidi ambayo ipo busy sana na kujificha kt nyumba za uzunguni ktk mageti na mogodown..Hivyo operation iende nchi nzima.

Nafurahi kuona katika masuala ya ulinzi na usalama wa mama yetu Tamzania , sote tupo pamoja, na hilo ndio pigo kubwa sana kwa Namilonjo Kagame.
 
Kagame ni mtu hatari sana ikiwezekama JWTZ waunganishe mission ya kumkamata,yeye na dictator M7 ndo wanahamasisaha EAC yao,mm natamani hata kesho ikibidi kujitolea kumchapa nitakua mstari wa mbele

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom