Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
THAT'S THE NON SENSE AND STUPIDY OF MR C.MTIKILA AND IT'S NGO,FUFUA CHAMA CHAKO MCHIKICHINI KIKO HOI KINA KUFA ACHANA NA CHADEMA,Bu..shits
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hilo gazeti linamilikiwa na nani?
MUULIZE KAGAME ARUDIE HAYO MANENO, aliposema(mtikila) hawa jamaa wana mpango wa kupanua bahima empire hakutiliwa maanani mpaka walipoanza chokochoko ndani ndio mkapeleka majeshi kuwaondoa drc nani aliona hilo na kulisemea?Paul Kagame alisema Mch.Mtikila ananuka damu, bila shaka ukweli umeanza kuonekana!
Mtikila is right, kuna chadema ya chumbani na ya sebuleni
kwa story zile zileee..mbona yeye na chama chake cha DP katibu mkuu ni mkewe? watu wengine bhana
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013
'Kama CCM wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha Kikristo na cha Kaskazini, Basi tuseme kuwa CCM ni chama cha Pwani na Cha kiislamu?
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itika...ni na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu''
unamjuam vizuri anae eneza udini, ccm kama ingesimamia misingi kwa kuundwa kwake kwa dhati tusingefika hapa tulipo, kwa mapenzi yako yameingia upofu badala ya kufoka unajifanya huoni nani anaeneza siasa za majitakaNaipenda sana c.c.m ila s kwa sababu Rais wangu n din yangu nachukia sana udin nanawachukia wote wanao eneza udun MUNGU IBARIK TANZANIA
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,
Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,
Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,