Lawrence Luanda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 703
- 77
Source: SAUTI YA UMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuondoa dhana hii ambayo imetawala kwa vichwa vya watz wengi kuwa CDM ni chama cha ukabila, wazo langu naomba MBOWE & SLAA wawapishe watu wengine au mmojawapo aachie ngazi na huyo atae shika nafac ya aliyejiengua km SLAA au MBOWE asiwe MCHANGA, kidogo watz wanaweza kuwaelewa nini mnafanya
Yani tangu nazaliwa hadi leo niko miaka ya thelathini na ushee namsikia mtikila akiwa mwenyekiti wa DP tu. Hapo anatuambia nini?
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
Mkuu Kashaga, kwa hiyo Mch. Mtikila ndo mentor wako na akisema kitu unajua ndio mtazamo ulio sahihi kupita yote!?
Hivi zile kesi za huyu mchungaji zilishaishaga? 1
Hivi na kule mjengoni kuna mbunge yeyote anayewakilisha hiki chama cha huyu Mchungaji? 2
mimi nashare taarifa na wenzangu ili mzijue
wanaotumia silaha ya ukabila na udini kuidhoofisha chadema hawatafanikiwa,,,na kama wakifanikiwa basi nchi haitakalika.
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,
Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,
Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,